Waonyesha uwezo wao Tel aviv na Jerusalem hapakaliki

Kubababake Iran wana balaa hizo missiles zote zimetua kwenye ardhi ya Israel? Hawa kweli wakiamua kuifuta Israel wanaweza nawaza wakizishusha hizo kombora kwenye makazi ya watu itakuaje
Wazishushe..msije kuanza kulia kuhusu WANAWAKE na watoto
 
Kwahiyo Traore ni mkatoliki? Unewazidi nini Egypt, Algeria, Morocco, Nigeria kwa Africa tu ili tukuambie wewe majnun kuwa hiyo Tanzania ya Wakatoliki ilizalisha nini cha maana zaid ya ujinga? Kama Kenya wamekuzidi kwakuwa hawajawa na Rais Muislam je Burundi ishawahi kuwa makao makuu ya Uislam? Ukiambiwa una akili ndogo unaweza kuhisi tusi kumbe ni ukweli
 
Kupitia hii clip nimegundua, target ilikuwa kupiga mfumo wa ulinzi ila drone imekosa padogo sana
 
na mie kobazi correspondent toka Mvuti na-cover matukio in real time Hamisi
Mkuu endelea kula mkono mzee na baby care yako .. kule teyari wakuu 16 washalamba vumbi na raia 224 teyari nao wameunga mkono kufata mabikra 72 haera.

Ngoja tuone mwisho wao ni upi maana irani kunachomeka sana hasara wanayopewa ni kubwa mno kuliko wao wanavyoua raia wasio na hatia israel ambao mpaka sasa wamefikia 20 na majeruhi 93 kutokana na iran kurusha makombora hovyo hovyo wakisaidiana na iraq, lebanon, yemen, syria na hamasi- palestina
 
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…