Waooooo! siamini kabisa!!!

Sawa sawa.....[emoji47] [emoji47] [emoji47]
Asante mkuu kwa kutoa usingizini.
Kumbe huyu ndio yule aliepigwa laifu bani dipu dauni to ethi....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
hahahaa, Laifu bani kwani nimemtukana Melo hahahahahaaha.
 
Hujawahi kuwa na kashfa mkuu, sema kuna sehem umetajwa na nikaona hakuna ubaya nikiuliza.
Humu minajua rafiki wako wa ubani, kufa na kuzikana ni NAHUJA na Miss Natafuta
πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜±πŸ˜±
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…