MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona wivu kwa sababu nakutaka!hahahaa kwan kunitaja imekuwa kosa ? mbona kamtaja@mwifwa
hahahaa, Laifu bani kwani nimemtukana Melo hahahahahaaha.Sawa sawa.....[emoji47] [emoji47] [emoji47]
Asante mkuu kwa kutoa usingizini.
Kumbe huyu ndio yule aliepigwa laifu bani dipu dauni to ethi....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
kaoneNaona wivu kwa sababu nakutaka!
recognitionKuna malipo au.?
Ebu ngoja nitumie akili ya kuzaliwa, then nitakuja na jibuSijui nani
Naona wivu kwa sababu nakutaka!
😀😀😀😀 mnajuana hahahahakaone
Why uote?ndio ww?? au naota
Hujawahi kuwa na kashfa mkuu, sema kuna sehem umetajwa na nikaona hakuna ubaya nikiuliza.hahahah NAMESHE kwenye vikashfa vya jf nabananishwaga na ww sijui why !bas hii sasa itasambaaa ohh nameshe ni mbiti !lol
Tatizo la Botswana ni Ukimwi mwingi, hhahahhha, twende nje ya Africa.shoga mie nina usongo na botswana tu sijui why !hehehe nenda mwaya kuna fulendi huko nisalimie !pakiwa patamu shoga usisite kunistua ! yaan am vere vere siliazi!
Basi tucheckianeSiwezi
😕😕😎😎😱😱Hujawahi kuwa na kashfa mkuu, sema kuna sehem umetajwa na nikaona hakuna ubaya nikiuliza.
Humu minajua rafiki wako wa ubani, kufa na kuzikana ni NAHUJA na Miss Natafuta
Hujawahi kuwa na kashfa mkuu, sema kuna sehem umetajwa na nikaona hakuna ubaya nikiuliza.
Humu minajua rafiki wako wa ubani, kufa na kuzikana ni NAHUJA na Miss Natafuta
Hatulegei mkuu, ukiwa mgeni humu lazima wahenga tuangalie fursa wallah....[emoji39] [emoji39] [emoji39]Washindwe na walegeee
Aaah okelarecognition
hahaha kwamba huwezi kukaza? teh !mie bas niende 'wingeledha 'Tatizo la Botswana ni Ukimwi mwingi, hhahahhha, twende nje ya Africa.
Duhhh.....[emoji45] [emoji45]huyo huyo mkuu
Uingeleza nao wana tabia kama za watu wa huku Pwani Pwani twenzetu kwa Trampohahaha kwamba huwezi kukaza? teh !mie bas niende 'wingeledha '