Jiwedogo
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 2,811
- 4,097
Yuesiei Bay Boy amepotea sana skuizi, nakumbuka mara ya mwisho alichafua hali ya hewa hadi kupelekea mahusiano na ndoa flani ipo ICU wallahhahahaha unamtafuta uchokozi Kijana wa USA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yuesiei Bay Boy amepotea sana skuizi, nakumbuka mara ya mwisho alichafua hali ya hewa hadi kupelekea mahusiano na ndoa flani ipo ICU wallahhahahaha unamtafuta uchokozi Kijana wa USA
Bado siku 14 uishe, duuu bado parefu sana.hahahaaa mwezi nux huu !
Washindathe
wemkumbuke mzee ekiitangwa HAMITHI MJEWA hahahahaa
parefu mno mno !Bado siku 14 uishe, duuu bado parefu sana.
Hahaha nilijua unakipatahahaha naelewa bas mzee baba !nashinda poa!
zero !sikijui !Hahaha nilijua unakipata
Karibu mwanza mkuu, salam nitazifikisha bilashaka tena mujarab kabisa....[emoji6] [emoji6] [emoji6]ohhh bas mpe zangu salam ! bas siku nikija mnipokee jaman naja na nyehunge!
Urewedi?nimmanje kave ummanya eeh he he he mwana wa kaa we
m
poa !nichekie nafasi walau golden crestKaribu mwanza mkuu, salam nitazifikisha bilashaka tena mujarab kabisa....[emoji6] [emoji6] [emoji6]
Pamoja mzee mama...[emoji6] [emoji6]poa !nichekie nafasi walau golden crest
haha haya kakakePamoja mzee mama...[emoji6] [emoji6]
nirewedi hii rae?Urewedi?
Huku ni kilimo cha muhogo, maharage na karanga......hahaha mnalima nini wenzetu? maana mahindi yamedoda !haya nipe dili chapchap
Ni chedi wetunirewedi hii rae?
ohhh safi sana roba la mhogo nw ni sh ngapHuku ni kilimo cha muhogo, maharage na karanga......
Ebu fanya ukuje tafadhali....