Waooooo! siamini kabisa!!!

Waooooo! siamini kabisa!!!

na vipo cheap hatar !kilimot bongo kwakweli bado !masoko hakuna tabu tupu !dalali anakupangia bei !mbbaaafu
Tatizo wakulima wetu hawajui kutafuta masoko. Pia tatizo linguine hawana uwezo wa kuongeza thamani ya mazao kwa mfano akilima machungwa ajue hadi kutengeneza juisi auze. Kama amelima mahindi basi asage unga auze
 
shoga kuna ukiritimba kwenye hayo mambo achaga tu !yaan utazungushwa weee !mie kuna kaprocess kamoja nimestuck nw nakaribia mwaka !yaan sijui tu ! usifikirie ni rahis hvyo!
 
Kufungua ID hata sijamaliza wiki tayari nimekuwa senior member.
Ahsante JF, hahahahaha raha sana. Nadhani wiki ijayo nitakuwa Platinum member kama akina Nyani Ngabu.

salamu nyingi kwako Mwifwa, MBITIYAZA
Hahahahahaaaaa.

Uko [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] si kawaida

Salamu nyingi na kwako piaa
 
Back
Top Bottom