Waooooo! siamini kabisa!!!

Kwangu hakuna fursa maana tayari nimeolewa nina mtu wangu kama unavyoniona hapa chini kwenye picha yangu ya siku ya harusi, pembeni kwa mbaali yupo mpambe wangu MBITIYAZA

hahahahhahaaaaaaaaa ! mwanamke boobs walah !
 
Uingeleza nao wana tabia kama za watu wa huku Pwani Pwani twenzetu kwa Trampo


hahaha mashouger ! haya nipo 'tayali' nakumbuka enzi namaliza shule nilikua na mzuka sio wa nchi hii jaman !
 
hahahha hvi NAHUJA yupogo? i miss that lady jaman !ukimuona mwambie naandaa kongamano nije mkoa alipo !hehehehe bata watuonee wivu !
NAHUJA yupo mkuu, asubuhi nilipishana nae pale Buzuruga kwenye mataa alikua na prado lake wakati minavuka na baisikeli kuelekea shambani huko Mahina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…