Wapaka mbao rangi kuhadaa wateja

Wapaka mbao rangi kuhadaa wateja

Mchwa wanamalizwa na boric acid au bifen xta hasa kwa mbao ambazo tayari zimeshawekwa juu huko. Oil chafu inapunguza tu tatizo kwa mda.
kwangu mchwa sina kiukweli maana niliwadhibiti wasipande darini kutokea chini na nikaweza
picha ni kwamba hao dudu mende sikuwa nawajua kabla
nakuja kuwajua tayari washaweka kambi huko juu
na dudu mende ndiyo kichomi , maana wana mbawa wanaruka
 
Kumbe ni hayo madudu mengine, mbona fumigation tu inawaondoa hao. Maduka ya agrovets utakosa kweli?
 
Mtu akiweza kuimport hii bongo atapiga hela. Maana inaoneka ndio kiboko hii

bora.jpg
 
Mchwa wanamalizwa na boric acid au bifen xta hasa kwa mbao ambazo tayari zimeshawekwa juu huko. Oil chafu inapunguza tu tatizo kwa mda.
Sasa hizo product zenye boric kama active ingredient bongo zipo?
 
Back
Top Bottom