ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Mchwa wanamalizwa na boric acid au bifen xta hasa kwa mbao ambazo tayari zimeshawekwa juu huko. Oil chafu inapunguza tu tatizo kwa mda.sio kwamba anazungumzia wale wadudu kama mende ? dumuzi ?
wale oil chafu hutoki bado