euca
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 3,811
- 4,178
Dah pole sana hawa wauzaji wanatupa sana hasaraSi bora ingekuwa haina gypsum ningeng'oa au kupiga oil? Mimi nishapiga gypsum na rangi kila kitu. Halafu ni conteporary kuingia darini mtihani!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah pole sana hawa wauzaji wanatupa sana hasaraSi bora ingekuwa haina gypsum ningeng'oa au kupiga oil? Mimi nishapiga gypsum na rangi kila kitu. Halafu ni conteporary kuingia darini mtihani!!!!
Kwa bongo yetu hata jamaa wa fumigation wanaweza wakakupigia maji yalichanganywa na mafuta ya taa,mbongo kila sehemu ni upigaji na kutiana hasaraHapo ni kupiga fumigation ya darini tu
Kila kona kuna mijizi aiseeHii nchi wezi wengi sana
ohooHalafu ni conteporary kuingia darini mtihani
wewe una ahueni kidogo, mbao inaonekana pande zote rahisi kwa treatmentNa mbaya zaidi hawaonekani unona vumbi tu linashuka kuingja kwenye mboga kama nyumba haina gypsum body
nafaka zote wao twenzetu, kwenye mahindi ndiyo usisemeNiliwahi pia kuwaona kwenye maharage ! Hata mchele pia wanatoboa
Nyumba ni contemporary, hapo una kibarua mkuu.Si bora ingekuwa haina gypsum ningeng'oa au kupiga oil? Mimi nishapiga gypsum na rangi kila kitu. Halafu ni conteporary kuingia darini mtihani!!!!
Wanasema ukipiga oil chafu kabla hawajaingia ni mkataba. So kabla hujapaua piga oil chafuKuna jamaa yangu ni fundi,amenishauri mbao nyingi kwa sasa hamna kitu.
Anasema kitu cha uhakika ni milunda,ambao mmetumia naomba uzoefu kuhusu hili
Ngoja nifanye hivi,ntaloeka kabisa oil chafuWanasema ukipiga oil chafu kabla hawajaingia ni mkataba. So kabla hujapaua piga oil chafu
Dawa ipo ya ku spray kwenye dariHakuna dawa au tena usiku huwa wanazidi ili tu usilale unono😬
Inaitwaje?Dawa ipo ya ku spray kwenye dari
Inaitwaje?Dawa ipo ya ku spray kwenye dari
Asante kwa comment yako mkuuWanasema ukipiga oil chafu kabla hawajaingia ni mkataba. So kabla hujapaua piga oil chafu
Hatari lkn salamaTanzania bwana!
Mirunda wanatumia sana Zanzibar, huku bara mmmh, ila nayo inachakatwa na mchwa balaa. Kwa unguja sikuwahi kuona tatizo la mchwa kwenye mirunda.Kuna jamaa yangu ni fundi,amenishauri mbao nyingi kwa sasa hamna kitu.
Anasema kitu cha uhakika ni milunda,ambao mmetumia naomba uzoefu kuhusu hili
Watu zaidi ya watatu wanasema milunda ni bora sana,Mirunda wanatumia sana Zanzibar, huku bara mmmh, ila nayo inachakatwa na mchwa balaa. Kwa unguja sikuwahi kuona tatizo la mchwa kwenye mirunda.