Wapaka mbao rangi kuhadaa wateja

Wapaka mbao rangi kuhadaa wateja

Na mbaya zaidi hawaonekani unona vumbi tu linashuka kuingja kwenye mboga kama nyumba haina gypsum body
wewe una ahueni kidogo, mbao inaonekana pande zote rahisi kwa treatment
 
Kuna hata hawa wadudu weusi hivi yaani kinakua ndani kwa ndani kinapejecha unatoka kama unga fulani kwenye mbao au vinakula sehemu kubwa ukija kugusa tu inatoboka ! Niliwahi pia kuwaona kwenye maharage ! Hata mchele pia wanatoboa
 
Yan tanzania Kila mtu ana utapeli flani hivi .basi vurugu tupu
 
Si bora ingekuwa haina gypsum ningeng'oa au kupiga oil? Mimi nishapiga gypsum na rangi kila kitu. Halafu ni conteporary kuingia darini mtihani!!!!
Nyumba ni contemporary, hapo una kibarua mkuu.
 
Kuna jamaa yangu ni fundi,amenishauri mbao nyingi kwa sasa hamna kitu.

Anasema kitu cha uhakika ni milunda,ambao mmetumia naomba uzoefu kuhusu hili
 
Kuna jamaa yangu ni fundi,amenishauri mbao nyingi kwa sasa hamna kitu.

Anasema kitu cha uhakika ni milunda,ambao mmetumia naomba uzoefu kuhusu hili
Mirunda wanatumia sana Zanzibar, huku bara mmmh, ila nayo inachakatwa na mchwa balaa. Kwa unguja sikuwahi kuona tatizo la mchwa kwenye mirunda.
 
Mirunda wanatumia sana Zanzibar, huku bara mmmh, ila nayo inachakatwa na mchwa balaa. Kwa unguja sikuwahi kuona tatizo la mchwa kwenye mirunda.
Watu zaidi ya watatu wanasema milunda ni bora sana,
 
Back
Top Bottom