Wapaka rangi kucha wanavyofaidi wanawake

Wapaka rangi kucha wanavyofaidi wanawake

Ni uzushi tuu hiyo ya mipapaso inategemea na ntu na ntu
Mpaka mfike huko ina maana umejilegeza mwenywe

Acha wapate na wao kipato …..
 
Wanawafaidi sana tu hasa pale wanapokaa nusu uchi huku chupi ikionekana
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa hapo juu,

Katika story za hapa na pale na wanawake wenzangu weekend tukiwa tumejitoa kidogo kufurahia maisha...

Mmoja wa wenzetu akasema akiwa ofisini mwenzao aliwaambia kuwa usione wanawake wengi wanapenda kupaka rangi kwa wapaka kucha kuna utamu...

Anasema akauliza utamu gani huo...

Yani anadai wakati wa kupaka rangi kwanza kuna kusuguliwa miguu...

Baada ya hapo unaoshwa na kupaka mafuta kwa kupapaswa papaswa taratibu...

Akaendelea mbali zaidi kuwa wapaka rangi hao wanaitumia mikono yao kuwapaka mafuta wanapaka mpaka kwenye mapaja...

Akasema hapo kwenye mafuta ndio utamu unapoanzia unawafanya kujisikia raha...

Anadai wanawake wengine huishia kutoka na hao wapaka rangi kwakuwa wanakuwa wamewaamsha hisia zao...

Mi nikaishia kucheka...

Nikasema sasa wengine si wake za watu...

Basi chakula kikaja pale tukaendelea kula...

Nimalize tu...
Kuna siri nzito kwa wapaka rangi kucha.
Unaweza kuta mdada ana masters degree ya nuclear science lkn akienda kwa hao jamaa ana sandaa ata shikwa mipajaaa
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa hapo juu,

Katika story za hapa na pale na wanawake wenzangu weekend tukiwa tumejitoa kidogo kufurahia maisha...

Mmoja wa wenzetu akasema akiwa ofisini mwenzao aliwaambia kuwa usione wanawake wengi wanapenda kupaka rangi kwa wapaka kucha kuna utamu...

Anasema akauliza utamu gani huo...

Yani anadai wakati wa kupaka rangi kwanza kuna kusuguliwa miguu...

Baada ya hapo unaoshwa na kupaka mafuta kwa kupapaswa papaswa taratibu...

Akaendelea mbali zaidi kuwa wapaka rangi hao wanaitumia mikono yao kuwapaka mafuta wanapaka mpaka kwenye mapaja...

Akasema hapo kwenye mafuta ndio utamu unapoanzia unawafanya kujisikia raha...

Anadai wanawake wengine huishia kutoka na hao wapaka rangi kwakuwa wanakuwa wamewaamsha hisia zao...

Mi nikaishia kucheka...

Nikasema sasa wengine si wake za watu...

Basi chakula kikaja pale tukaendelea kula...

Nimalize tu...
Kuna siri nzito kwa wapaka rangi kucha.

Duh! Nawewe walikupaka vilangi kama ambaruty
 
Kila mtu afanye alionalo jema machoni kwake, muhimu havunji aman ya nchi....
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa hapo juu, Katika story za hapa na pale na wanawake wenzangu weekend tukiwa tumejitoa kidogo kufurahia maisha.

Mmoja wa wenzetu akasema akiwa ofisini mwenzao aliwaambia kuwa usione wanawake wengi wanapenda kupaka rangi kwa wapaka kucha kuna utamu.

Anasema akauliza utamu gani huo. Yani anadai wakati wa kupaka rangi kwanza kuna kusuguliwa miguu. Baada ya hapo unaoshwa na kupaka mafuta kwa kupapaswa papaswa taratibu. Akaendelea mbali zaidi kuwa wapaka rangi hao wanaitumia mikono yao kuwapaka mafuta wanapaka mpaka kwenye mapaja.

Akasema hapo kwenye mafuta ndio utamu unapoanzia unawafanya kujisikia raha. Anadai wanawake wengine huishia kutoka na hao wapaka rangi kwakuwa wanakuwa wamewaamsha hisia zao.

Mi nikaishia kucheka. Nikasema sasa wengine si wake za watu. Basi chakula kikaja pale tukaendelea kula.

Nimalize tu... Kuna siri nzito kwa wapaka rangi kucha.

View attachment 2245420
Picha: Kutoka makataba
Itabidi nianze hii kazi nitaanza na wewe nadhani Donatila inaonekana ni nzuri mno na marupurupu yapo ya kutosha kuliko hata ya bungeni 🤣🤣😁😀😀
 
Back
Top Bottom