Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Mafuta yalivyopanda bei nyie mnapakana kwenye mapaja...kweli watu mna pesa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wamepaki magari majumbani kisa bei juu...wao wanapaka mapajani..washenz sana hawa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huenda wapaka kucha rangi walimuamshia genye akatoka nao sio?Tumeshasahau swalha alichofanywa...ndoa Yao ilikuwa desember2021 Leo risasi zimemmeza
Mkono wa mtotoHuenda wapaka kucha rangi walimuamshia genye akatoka nao sio?
🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aaaa wapi...linasuguliwa...
Unaweza kuta mdada ana masters degree ya nuclear science lkn akienda kwa hao jamaa ana sandaa ata shikwa mipajaaaHabari wakuu,
Husika na kichwa hapo juu,
Katika story za hapa na pale na wanawake wenzangu weekend tukiwa tumejitoa kidogo kufurahia maisha...
Mmoja wa wenzetu akasema akiwa ofisini mwenzao aliwaambia kuwa usione wanawake wengi wanapenda kupaka rangi kwa wapaka kucha kuna utamu...
Anasema akauliza utamu gani huo...
Yani anadai wakati wa kupaka rangi kwanza kuna kusuguliwa miguu...
Baada ya hapo unaoshwa na kupaka mafuta kwa kupapaswa papaswa taratibu...
Akaendelea mbali zaidi kuwa wapaka rangi hao wanaitumia mikono yao kuwapaka mafuta wanapaka mpaka kwenye mapaja...
Akasema hapo kwenye mafuta ndio utamu unapoanzia unawafanya kujisikia raha...
Anadai wanawake wengine huishia kutoka na hao wapaka rangi kwakuwa wanakuwa wamewaamsha hisia zao...
Mi nikaishia kucheka...
Nikasema sasa wengine si wake za watu...
Basi chakula kikaja pale tukaendelea kula...
Nimalize tu...
Kuna siri nzito kwa wapaka rangi kucha.
Habari wakuu,

Itabidi nianze hii kazi nitaanza na wewe nadhani Donatila inaonekana ni nzuri mno na marupurupu yapo ya kutosha kuliko hata ya bungeni 🤣🤣😁😀😀Habari wakuu,
Husika na kichwa hapo juu, Katika story za hapa na pale na wanawake wenzangu weekend tukiwa tumejitoa kidogo kufurahia maisha.
Mmoja wa wenzetu akasema akiwa ofisini mwenzao aliwaambia kuwa usione wanawake wengi wanapenda kupaka rangi kwa wapaka kucha kuna utamu.
Anasema akauliza utamu gani huo. Yani anadai wakati wa kupaka rangi kwanza kuna kusuguliwa miguu. Baada ya hapo unaoshwa na kupaka mafuta kwa kupapaswa papaswa taratibu. Akaendelea mbali zaidi kuwa wapaka rangi hao wanaitumia mikono yao kuwapaka mafuta wanapaka mpaka kwenye mapaja.
Akasema hapo kwenye mafuta ndio utamu unapoanzia unawafanya kujisikia raha. Anadai wanawake wengine huishia kutoka na hao wapaka rangi kwakuwa wanakuwa wamewaamsha hisia zao.
Mi nikaishia kucheka. Nikasema sasa wengine si wake za watu. Basi chakula kikaja pale tukaendelea kula.
Nimalize tu... Kuna siri nzito kwa wapaka rangi kucha.
View attachment 2245420
Picha: Kutoka makataba