Mungu gani huyo? Anachojua kiarabu tu!We dogo Uislam unapaa kila kukicha ndio mfahamu hayo hio ni dini ya Mungu.
We baki unaota Hamasi atabaki hapo hapo Israel ndio itaondoka hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu gani huyo? Anachojua kiarabu tu!We dogo Uislam unapaa kila kukicha ndio mfahamu hayo hio ni dini ya Mungu.
We baki unaota Hamasi atabaki hapo hapo Israel ndio itaondoka hapo.
Hana utani yani kina Yahya Sinwar wanaishi kama panya na digidigi wana vyowindwaIsrael hana utani na kima
🤣🤣🤣wachina hawscheki na tumbili Mrusi ndo kabisaaa na india nao huwa hawachrki na waislam yaaan wao ni kata funia ukizingua wanazongua.
Ugaidi ni terrorism, process ya ugaidi ni watu wenye hofu, wasiojiamini, waoga wanaofizia. Hamas wajitokeze wanamalizwa ndani ya maaa 6Sio rahisi kushinda HAMAS maana ni magaidi wa kiislamu wanaojificha ndani ya akina mama na watoto, aidha uchague kupiga carpet bombing ufyatue kila mtu halafu dunia ipige makelele au utumie mbinu wanayotumia Israel ya kujaribu kuchambua, tatizo huko kwenye kuchambua bado kuna akina mama na watoto humo.
Ningependa sana mfanye upuzi kama huo kwa Wachina au Warusi uone wale walivyo, mnapigwa moja kwa moja, waulize waislamu wa Chechnya kilichowakuta hadi wakajikuta wanaunga juhudi za Urusi.
Unajua chochote kile mtu anachoamua kukiabudu ni Mungu wake hata uabudu Ng'ombe, Nyoka, Mto, Mlima au Jiwe basi hilo ndilo litakuwa ni mungu wako.We dogo Uislam unapaa kila kukicha ndio mfahamu hayo hio ni dini ya Mungu.
We baki unaota Hamasi atabaki hapo hapo Israel ndio itaondoka hapo.
Kwani injili ya Yesu ilishushwa kiswahili au kwanini usiulize mbona Mussa alishushiwa Torati kwa Kiyahudi😄Mungu gani huyo? Anachojua kiarabu tu!
Acheni ujinga Mungu ni mmoja tu ndiye Mumbaji wa kila kitu.Unajua chochote kile mtu anachoamua kukiabudu ni Mungu wake hata uabudu Ng'ombe, Nyoka, Mto, Mlima au Jiwe basi hilo ndilo litakuwa ni mungu wako.
Hivyo hao magaidi wa Hamas wanaomwabudu huyo mungu wao anayeitwa allah na ndivyo na Israel nao wana Mungu wao anayeitwa Jehova.
Katika mambo ya imani kila watu wanamwamini Mungu wao na wakati huohuo kumdharau wa wengine.
Sawa Mungu ni mmoja lakini kila mtu anamtambua katika appearance tofauti sio kama unavyomtambua wewe basi na kila mmoja amtambue hivyo, NO, hilo halipo na ndio maana hata serikali zinazojitambua hazijishughuliki na hilo.Acheni ujinga Mungu ni mmoja tu ndiye Mumbaji wa kila kitu.
Haha eti dini ziko nyingi haha ikiwa ukristo haujulikani nani kauleta, alowasiliana vipi na Mungu mpa akambiwa hio ndio dini yake.
Malaika gani alishusha ukristo na hizo dini unazo ongelea.
Dini ni Uislam tu ndio imeshushwa kwa Mtume Muhammad kwa njia ya Malaika JIBRIL
😄 Yani mtu amfananishe Mungu na nyoka, mlima, ngo'mbe afu aingie peponi, wakati Mungu anakataza usimfananishe na kitu chochote kile.Sawa Mungu ni mmoja lakini kila mtu anamtambua katika appearance tofauti sio kama unavyomtambua wewe basi na kila mmoja amtambue hivyo, NO, hilo halipo na ndio maana hata serikali zinazojitambua hazijishughuliki na hilo.
Usije ukashangaa siku ya siku ikifika wale waliokuwa wanamuabudu Mungu wakimtambua kama Mlima, Mti, Nyoka au Ng'ombe wakaingia mbinguni na wewe uliyekuwa ukimuabudu bila reference yoyote ukaishia kwenda kula 🔥 wa milele.
Kumbe wale walikuwa wanamuabudu Mungu kiukweli kabisa lakini kupitia tu vitu hivyo lakini sio kwamba walikuwa wakiabudu hivyo vitu na hicho ni kitendawili kigumu kwa mwanadamu kuweza kuelewa.
Ninachojaribu kuongea hapo ni jambo gumu sana kwa wengi kuweza kuelewa sio wachungaji wala masheikh na ndio maana siku zote neno la Mungu ni very tricky to understand.
Mudj mwenyewe alikuwa hajui kusoma wala kuandika ,,ila alikuwa anakula kitoto kidogo.Haha eti dini ziko nyingi haha ikiwa ukristo haujulikani nani kauleta, alowasiliana vipi na Mungu mpa akambiwa hio ndio dini yake.
Malaika gani alishusha ukristo na hizo dini unazo ongelea.
Dini ni Uislam tu ndio imeshushwa kwa Mtume Muhammad kwa njia ya Malaika JIBRIL
Ningeshangaa sana kama ungenielewa lakini kwa kuwa umekaririshwa dini huwezi kunielewa kamwe.😄 Yani mtu amfananishe Mungu na nyoka, mlima, ngo'mbe afu aingie peponi, wakati Mungu anakataza usimfananishe na kitu chochote kile.
Tatizo we humjui Mungu bado, ungemjua usinge mfananisha na vitu kama hivyo.
Haya soma hapo chini netanyahu na waziri wake wa ulinzi wameshapoteana huko, kinachoshangaza maeneo ambayo israel ilitangaza imeiangamiza hamas ,imegundulika kama vile hamas walikuwa mapumzikoni wamerudi kwa nguvu ile ile, waziri anamwambia netanyahu hatuwezi kupigana miaka ,lazima tutafute suluhuMpaka sasa wameshapata funzo kwamba Myahudi akidhamiria anapiga tu, wamekubali kujiondokea, magaidi ya dini yabaki yenyewe panyooshwe kama kwingine kule. Mtakaobaki hapo msianze kusema akina mama na watoto wameuawa....
Displaced Palestinians arrive in central Gaza after fleeing from the southern Gaza city of Rafah on Thursday, May 9, 2024. © Abdel Kareem Hana, AP![]()
The Israeli military said on Saturday about 300,000 people have left eastern Rafah for the Al-Mawasi humanitarian area since it ordered an evacuation of the southern Gaza city on Monday.
The military has ordered Palestinians to leave more areas of eastern Rafah and the northern Gaza Strip as it pressed ahead with its fight against Hamas militants. Read our live blog to follow all the latest developments in the Israel-Hamas war.
brazaj
Wenzetu mungu wao alikaa tumboni kwa mwanamke miezi tisa na birthday yake 25 decemberAcheni ujinga Mungu ni mmoja tu ndiye Mumbaji wa kila kitu.
Na hilo linadhihirisha utume wake ,hujiulizi mtu asiyejua kusoma na kuandika kuleta quran ambayo hadi scientist wanaitumia na researchers wameshindwa kuitoa kasoro hadi leo, will smith juzi aliisoma akasema its crystal clear kila kitu kipo wazi na hakina utata, huoni huo ni muujiza wa mungu?Mudj mwenyewe alikuwa hajui kusoma wala kuandika ,,ila alikuwa anakula kitoto kidogo.
Huyu jamaa yenu Mudi kaja kakuta jamii teari zina hivo vitu,, chuma ilishakuwepo kabla hata dola ya Rum haijaanguka ,,,Na hilo linadhihirisha utume wake ,hujiulizi mtu asiyejua kusoma na kuandika kuleta quran ambayo hadi scientist wanaitumia na researchers wameshindwa kuitoa kasoro hadi leo, will smith juzi aliisoma akasema its crystal clear kila kitu kipo wazi na hakina utata, huoni huo ni muujiza wa mungu?
Alikataza pombe,nguruwe , zinaa na kamari enzi hizo leo kila kukicha wanasayansi wanagundua athari mpya ya vitu hivyo
Aliielezea solar system karne hiyo hadi leo wanasayansi wakaelezea hivyo hivyo
Alielezea hadi asili ya chuma na juzi wanasayansi wakathibitisha hilo
Na mengine mengi ndio maana unaona hata hao wazungu waliokuletea huo ukristo wakisoma quran wanaona ukweli ulipo
Ajabu kwamba mtu asiejua kusoma na kuandika karne hizo akajua mambo yote hayo ya dunia , na akajua hadi bahari zisizo changanyika hakika huo ni utukufu wa mungu kwa mtume wake,Ila hao hao roma wakashindwa kujua kuwa nguruwe ,kamali ushoga na pombe mungu kavikataza, na wakashindwa kujua kwamba yesu kakaa tumboni kwa mwanamke kwa miezi tisa hadi kazaliwa na wakamwita munguHuyu jamaa yenu Mudi kaja kakuta jamii teari zina hivo vitu,, chuma ilishakuwepo kabla hata dola ya Rum haijaanguka ,,,
Solar system watu walishaanza kuwa na uelewa nayo kabla ya Mwana wa Mungu Yesu Kristo,,
Afu unapaswa kujua kuwa Qur'an ni kitabu kilicho okoteza okoteza vitu kutoka kwenye biblia hasa agano la kale ,,Uislam ni mpango wa ukatoliki ,,
Waarabu ni jamii inayopenda sana haki pasipo kujua wajibu, jamii baguzi sana kuanzia ngazi ya koo kwa koo ,kabila kwa kabila ,, ndio kisa pia wanaowana wao kwa wao ,ndugu kwa ndugu ,,
Kwahiyo Mud alikuwa anapokea posho kutoka Roma kwa ajili ya kuendesha harakati zake hizi,,.