Lagrange
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 2,365
- 2,732
Ila Mud ndio kazingua zaidi kwenye haya mapokeo ya dini ,,Ajabu kwamba mtu asiejua kusoma na kuandika karne hizo akajua mambo yote hayo ya dunia , na akajua hadi bahari zisizo changanyika hakika huo ni utukufu wa mungu kwa mtume wake,Ila hao hao roma wakashindwa kujua kuwa nguruwe ,kamali ushoga na pombe mungu kavikataza, na wakashindwa kujua kwamba yesu kakaa tumboni kwa mwanamke kwa miezi tisa hadi kazaliwa na wakamwita mungu
Ila mungu huyo akipata shida nayeye anamlilia mungu,huoni huo ni ujuha?