Wapalestina 300,000 wameondoka Rafah, pameanza kupigwa

We dogo Uislam unapaa kila kukicha ndio mfahamu hayo hio ni dini ya Mungu.

We baki unaota Hamasi atabaki hapo hapo Israel ndio itaondoka hapo.
Mungu gani huyo? Anachojua kiarabu tu!
 
Ugaidi ni terrorism, process ya ugaidi ni watu wenye hofu, wasiojiamini, waoga wanaofizia. Hamas wajitokeze wanamalizwa ndani ya maaa 6
 
We dogo Uislam unapaa kila kukicha ndio mfahamu hayo hio ni dini ya Mungu.

We baki unaota Hamasi atabaki hapo hapo Israel ndio itaondoka hapo.
Unajua chochote kile mtu anachoamua kukiabudu ni Mungu wake hata uabudu Ng'ombe, Nyoka, Mto, Mlima au Jiwe basi hilo ndilo litakuwa ni mungu wako.

Hivyo hao magaidi wa Hamas wanaomwabudu huyo mungu wao anayeitwa allah na ndivyo na Israel nao wana Mungu wao anayeitwa Jehova.

Katika mambo ya imani kila watu wanamwamini Mungu wao na wakati huohuo kumdharau wa wengine.
 
Acheni ujinga Mungu ni mmoja tu ndiye Mumbaji wa kila kitu.
 
Acheni ujinga Mungu ni mmoja tu ndiye Mumbaji wa kila kitu.
Sawa Mungu ni mmoja lakini kila mtu anamtambua katika appearance tofauti sio kama unavyomtambua wewe basi na kila mmoja amtambue hivyo, NO, hilo halipo na ndio maana hata serikali zinazojitambua hazijishughuliki na hilo.

Usije ukashangaa siku ya siku ikifika wale waliokuwa wanamuabudu Mungu wakimtambua kama Mlima, Mti, Nyoka au Ng'ombe wakaingia mbinguni na wewe uliyekuwa ukimuabudu bila reference yoyote ukaishia kwenda kula πŸ”₯ wa milele.

Kumbe wale walikuwa wanamuabudu Mungu kiukweli kabisa lakini kupitia tu vitu hivyo lakini sio kwamba walikuwa wakiabudu hivyo vitu na hicho ni kitendawili kigumu kwa mwanadamu kuweza kuelewa.

Ninachojaribu kuongea hapo ni jambo gumu sana kwa wengi kuweza kuelewa sio wachungaji wala masheikh na ndio maana siku zote neno la Mungu ni very tricky to understand.
 
Sema huku si ndio tunamchukulia punda poa ila upande huo punda ni valuable sana
 

Na wewe unaamini jua linazama kwenye matope?
 
πŸ˜„ Yani mtu amfananishe Mungu na nyoka, mlima, ngo'mbe afu aingie peponi, wakati Mungu anakataza usimfananishe na kitu chochote kile.

Tatizo we humjui Mungu bado, ungemjua usinge mfananisha na vitu kama hivyo.
 
Mudj mwenyewe alikuwa hajui kusoma wala kuandika ,,ila alikuwa anakula kitoto kidogo.
 
πŸ˜„ Yani mtu amfananishe Mungu na nyoka, mlima, ngo'mbe afu aingie peponi, wakati Mungu anakataza usimfananishe na kitu chochote kile.

Tatizo we humjui Mungu bado, ungemjua usinge mfananisha na vitu kama hivyo.
Ningeshangaa sana kama ungenielewa lakini kwa kuwa umekaririshwa dini huwezi kunielewa kamwe.
 
Haya soma hapo chini netanyahu na waziri wake wa ulinzi wameshapoteana huko, kinachoshangaza maeneo ambayo israel ilitangaza imeiangamiza hamas ,imegundulika kama vile hamas walikuwa mapumzikoni wamerudi kwa nguvu ile ile, waziri anamwambia netanyahu hatuwezi kupigana miaka ,lazima tutafute suluhu

Tulisema hapa wakati vita inaanza na hata marekani alitoa angalizo kwamba israel keshapotea njia hajui anachofanya zaidi ya kuangamiza raia na kuharibu miundombinu, ameshindwa kupigana na mgambo miezi nane sasa hamna chochote alichofanikiwa ,si mateka wala kuwamaliza hamas


 
Acheni ujinga Mungu ni mmoja tu ndiye Mumbaji wa kila kitu.
Wenzetu mungu wao alikaa tumboni kwa mwanamke miezi tisa na birthday yake 25 december
Ila alivyosulubiwa na yeye akaomba msaada kwa mungu
 
Mudj mwenyewe alikuwa hajui kusoma wala kuandika ,,ila alikuwa anakula kitoto kidogo.
Na hilo linadhihirisha utume wake ,hujiulizi mtu asiyejua kusoma na kuandika kuleta quran ambayo hadi scientist wanaitumia na researchers wameshindwa kuitoa kasoro hadi leo, will smith juzi aliisoma akasema its crystal clear kila kitu kipo wazi na hakina utata, huoni huo ni muujiza wa mungu?
Alikataza pombe,nguruwe , zinaa na kamari enzi hizo leo kila kukicha wanasayansi wanagundua athari mpya ya vitu hivyo
Aliielezea solar system karne hiyo hadi leo wanasayansi wakaelezea hivyo hivyo
Alielezea hadi asili ya chuma na juzi wanasayansi wakathibitisha hilo
Na mengine mengi ndio maana unaona hata hao wazungu waliokuletea huo ukristo wakisoma quran wanaona ukweli ulipo
 
Acha wapigwe tu hakuna namna. Walichokoza Wazayuni ili wakipigwa watafute huruma za watu?!!! Aljazeera wahedi πŸ€”
 
Huyu jamaa yenu Mudi kaja kakuta jamii teari zina hivo vitu,, chuma ilishakuwepo kabla hata dola ya Rum haijaanguka ,,,

Solar system watu walishaanza kuwa na uelewa nayo kabla ya Mwana wa Mungu Yesu Kristo,,

Afu unapaswa kujua kuwa Qur'an ni kitabu kilicho okoteza okoteza vitu kutoka kwenye biblia hasa agano la kale ,,Uislam ni mpango wa ukatoliki ,,

Waarabu ni jamii inayopenda sana haki pasipo kujua wajibu, jamii baguzi sana kuanzia ngazi ya koo kwa koo ,kabila kwa kabila ,, ndio kisa pia wanaowana wao kwa wao ,ndugu kwa ndugu ,,

Kwahiyo Mud alikuwa anapokea posho kutoka Roma kwa ajili ya kuendesha harakati zake hizi,,.
 
Ajabu kwamba mtu asiejua kusoma na kuandika karne hizo akajua mambo yote hayo ya dunia , na akajua hadi bahari zisizo changanyika hakika huo ni utukufu wa mungu kwa mtume wake,Ila hao hao roma wakashindwa kujua kuwa nguruwe ,kamali ushoga na pombe mungu kavikataza, na wakashindwa kujua kwamba yesu kakaa tumboni kwa mwanamke kwa miezi tisa hadi kazaliwa na wakamwita mungu
Ila mungu huyo akipata shida nayeye anamlilia mungu,huoni huo ni ujuha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…