Mvivu ni wewe ambaye unajua hiyo Quran yako inasemaje na umeshindwa kutuelezea badala yake ulivyo mjinga unaniambia mimi nikasome!! Ujinga wa Hali ya juu sana!!Hapo ilipoandika Quran nenda kasome vzr kwa nini unakua mvivu..
Mvivu ni wewe ambaye unajua hiyo Quran yako inasemaje na umeshindwa kutuelezea badala yake ulivyo mjinga unaniambia mimi nikasome!! Ujinga wa Hali ya juu sana!!
MsikitiniKwani ujinga wa hali juu uliusomea wapi?
Sasa kwa nini usibaki kanisani ukasome waraka wa Papa FrancisMsikitini
Papa sio mwanzilish wa uislam, usipotoshe.Uislam ni dini ya Mungu na ilikuwepo toka enz za Adam na Hawa kabla hata ya huyo Papa kuwepo.Papa ndiye muanzilishi na Engineer wa dini ya Uislamu
Ukatoliki ndio walioanzisha uislamu wakimtumia Muhammad
Padre Waraq na bi Khadija aliyekuwa mkatoliki ndio waliompa utume Muhammad
Aliyekudanganya alishakufaPapa sio mwanzilish wa uislam, usipotoshe.Uislam ni dini ya Mungu na ilikuwepo toka enz za Adam na Hawa kabla hata ya huyo Papa kuwepo.