Wapalestina ni wavamizi kwa mujibu wa Quran

Wapalestina ni wavamizi kwa mujibu wa Quran

Mgalatia hebu punguza munkari wa uelewa Kwhy ni Quran pekee yake ndo inaonyeaha waisraeli kwao ni wapi?...yanii pia ishindwe hata kusema waarabu kwao ni wapi na ilhali imeandikwa kiarabu..hivi haikusema Saudi kwenu ni hapa na mwsh wenu hapa sembese wapelistina?..si ndio?
Tokea Mussa mpk leo washndwe kujua mpalestina kwao ni wapi ila tuu ukubaliane na hicho kipande cha aya?..huo ni mkasa kama mikasa mingine iliyotokea kipindi hicho na kwa nini iliwachukua miaka 40 kufika na hapakua na umbali huo kutoka misri?..hicho kisa ni kirefu na kina mafundisho ya kiimani lkn sio sababu eti palionyeshwa kwao ni wapi sababu Mussa mpk anakufa hakuweza kuwafikisha kwa nini hakuwafikisha sababu ni nini?
Sasa tulitarajia utakuja na Majibu kumbe na wewe hakuna kitu umekuja na ngonjea tu ovyo kabisa wewe!!
 
Sasa tulitarajia utakuja na Majibu kumbe na wewe hakuna kitu umekuja na ngonjea tu ovyo kabisa wewe!!
Kwani Quran ndo imekuja kugawa mipaka na nchi au wakoloni..yanii Quran itaje kwa waisraeli lkn isitaje hata chembe Saudia tena kwa kiarabu hicho hicho ishndw pia kusema wapelistina kwao wapi?..surat Al-Ma'idah mwanzo mpk mwsh mwenyezimungu anajinasibu alivyowapa neema wana wa Israel mpk ikapelekea wakufuru...ni sura yenye kutoa somo kwmb mwenyezimungu anaweza kukupa na akachukua..tafsiri yake ipo wazi kwa kiswahili wala usiwe mvivu.Sipo madhabahuni nikuambie funua hapa usome..Soma mwnyw surat Al maidah kwa fasiri ya kiswahili through Google
 
Una uliza swali wakati sisi tunasubiri majibu!!! Acha ujinga jibuni hoja!!
Hakuna hoja hapo aya ya 20 surat Al maidah anasema waisraeli walipewa hapo na mwenyezimungu sasa jiulize swali moja hao waliowakuta hapo waliktokea wapi?..na mwanzo surat Al maidah uliongelea nini mpk mwsh..surat Al-Ma'idah ina aya karibia 100 na lkn aya ya 20 tu ndo mliyoiamini na kuikubali lkn aya zingine humo hamzikubali hapo sasa kuna hoja ipo wapi?
Hata sheria inapotungwa inakua na kanuni zake sasa ina maana kanuni hazifanyi kazi sababu ya sheria?
 
Wewe endelea kujitekenya harafu unacheka mwenyewe pia endelea kujifariji maana mambo ni magumu upande wenu!!!
 
Wewe endelea kujitekenya harafu unacheka mwenyewe pia endelea kujifariji maana mambo ni magumu upande wenu!!!
Upande wangu upi mie sina ndugu huko..ila ppt panapomwagika damu za watu lazima tujue chanzo na pasuluhishwe..yanii weeh mgalatia huku ndo ujue Quran imewapa waisraeli ardhi lkn wao huko wasijue si ndio?
Kama weeh una upande kweli kwa nini yasikuumize ya Congo DRC na wagalatia wenzio mbn umekua huna upande mwanadamu huna ruhusa ya kumuua binadamu mwenzio sembuse kiumbe..Swali wapelistina pale sio kwao ni wapi?...DRC wanauana kwa tofauti ya ukabila kwa nini hayakuumi na ni wagalatia wenzio
 
Acha kujilizaliza kutafuta huruma kwa Oct 07,2023 magaidi wa Hamas hawa kuua?? Ulivyo mjinga hayo hukuona Ila umekuja kuona wakati Israel inajibu mapigo!! Wafuga Midevu na Majini mna matatizo makubwa sana nendeni mkaombewe!! Umeingiza issue ya DRC umesahau kuwa uzi huu unaongelea

Wapalestina ni wavamizi kwa mujibu wa Quran​

Acha ujinga lete na wewe mada ya DRC.
 
Yesu alikua na ndevu nyingi tu na alitoa majini waisrael wenzie waliokua nayo,huwezi toa mtu jini ikiwa hujui kulifuga/handle
 
Acha kujilizaliza kutafuta huruma kwa Oct 07,2023 magaidi wa Hamas hawa kuua?? Ulivyo mjinga hayo hukuona Ila umekuja kuona wakati Israel inajibu mapigo!! Wafuga Midevu na Majini mna matatizo makubwa sana nendeni mkaombewe!! Umeingiza issue ya DRC umesahau kuwa uzi huu unaongelea

Wapalestina ni wavamizi kwa mujibu wa Quran​

Acha ujinga lete na wewe mada ya DRC.
Wamevamia wakitokea wapi?..aya ipi hiyo ya Quran iliyosema wamevamia?..sasa kama mliweza kumsinguzia Yesu ni mungu na mkamchongea na Vinyago na picha mtashndwa na lipi wagalatia kwa uzushi?...kwa mujibu wa Quran aheri sasa unaiamini Quran
 
Hizo ndizo akili za Wafuga Midevu na Majini zilikoishia!!!
Ndevu hazifugwi weeh mgalatia zinawekwa kama alivyoweka Yesu na manabii wote..bora hata majini yasiyo onekana kulikoni kulishwa udongo na kusilibwa mafuta na akili zako timamu
Mgalatia una mihemko sasa kwani wewe Yesu ni mungu au mtoto wa mungu umekaa upande gani mana'ke nyie kila Rais wa wa Marekani kwenu anashika maono yenu ya dini...mie naona ungejikita kuusoma waraka wa Papa Francis dishi lako likae sawa
 
Acha ujinga kwani hii mada inazungumzia Mungu au Yesu au Papa?
 
‎Qur'an 109
‎1. Sema(Muhammad): Enyi makafiri!
‎2. Siabudu mnacho kiabudu;
‎3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu
‎4. Wala sitaabudu mnacho abudu.
‎5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
‎6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.
 
Kwa mujibu wa Quran Tukufu WALIOPEWA hiyo Ardhi ni Wana wa Israel,hakuna mahali Quran inawatambua WAPALESTINA,kama Kuna Aya zipo nitaomba nisaidiwe maana elimu ni Bahari

Hebu tuangalie Quran inasemaje kuhusu Ardhi kuwa ni ya Wana wa Israeli .

Uislamu Huwa unakwama kwenye historia tu ambayo mara kadhaa imekuwa ikiwaumbua

1. Surat Al-A'raf (7:137)
وَأَوْرَثْنَا الْقَوْمَ الَّذِينَ كَانُوا يُسْتَضْعَفُونَ مَشَارِقَ الْأَرْضِ وَمَغَارِبَهَا الَّتِي بَارَكْنَا فِيهَا ۖ وَتَمَّتْ كَلِمَةُ رَبِّكَ الْحُسْنَىٰ عَلَىٰ بَنِي إِسْرَائِيلَ بِمَا صَبَرُوا ۖ وَدَمَّرْنَا مَا كَانَ يَصْنَعُ فِرْعَوْنُ وَقَوْمُهُ وَمَا كَانُوا يَعْرِشُونَ

"Na tukawarithisha watu waliokuwa wakidharauliwa, mashariki ya ardhi na magharibi yake, ambayo tumebariki ndani yake. Na neno zuri la Mola wako Mlezi likatimia juu ya Wana wa Israel, kwa vile walivyosubiri. Na tukaharibu kabisa waliokuwa wakiyatenda Firauni na watu wake na walizokuwa wakizijenga."

2. Surat Al-Isra (17:104)
وَقُلْنَا مِنْ بَعْدِهِ لِبَنِي إِسْرَائِيلَ اسْكُنُوا الْأَرْضَ فَإِذَا جَاءَ وَعْدُ الْآخِرَةِ جِئْنَا بِكُمْ لَفِيفًا

"Na baada yake tukawaambia Wana wa Israel: Kaeni katika ardhi. Na utakapokuja ahadi ya Akhera tutakuleteni nyote pamoja (kutoka sehemu mbalimbali)."

3. Surat Al-Baqara (2:47)
يَا بَنِي إِسْرَائِيلَ اذْكُرُوا نِعْمَتِيَ الَّتِي أَنْعَمْتُ عَلَيْكُمْ وَأَنِّي فَضَّلْتُكُمْ عَلَى الْعَالَمِينَ

"Enyi Wana wa Israel! Kumbukeni neema yangu niliyokuneemesheni, na kwamba niliwafadhilisha juu ya walimwengu."

4. Surat Al-Baqara (2:122)

يَا بَنِي إِسْرَائِيلَ اذْكُرُوا نِعْمَتِيَ الَّتِي أَنْعَمْتُ عَلَيْكُمْ وَأَنِّي فَضَّلْتُكُمْ عَلَى الْعَالَمِينَ

"Enyi Wana wa Israel! Kumbukeni neema yangu niliyokuneemesheni, na kwamba niliwafadhilisha juu ya walimwengu."

5. Surat Al-Ma'idah (5:24-26)

Aya hizi zinaeleza jinsi Wana wa Israel walivyokataa kuingia katika ardhi hiyo kwa hofu ya watu waliokuwa wakiishi humo, na adhabu yao ya kupotea kwa miaka 40 jangwani:

قَالُوا يَا مُوسَىٰ إِنَّ فِيهَا قَوْمًا جَبَّارِينَ وَإِنَّا لَن نَّدْخُلَهَا حَتَّىٰ يَخْرُجُوا مِنْهَا فَإِن يَخْرُجُوا مِنْهَا فَإِنَّا دَاخِلُونَ ۝ قَالَ رَجُلَانِ مِنَ الَّذِينَ يَخَافُونَ أَنْعَمَ اللَّهُ عَلَيْهِمَا ادْخُلُوا عَلَيْهِمُ الْبَابَ فَإِذَا دَخَلْتُمُوهُ فَإِنَّكُمْ غَالِبُونَ ۖ وَعَلَى اللَّهِ فَتَوَكَّلُوا إِن كُنتُم مُّؤْمِنِينَ ۝ قَالُوا يَا مُوسَىٰ إِنَّا لَن نَّدْخُلَهَا أَبَدًا مَّا دَامُوا فِيهَا فَاذْهَبْ أَنتَ وَرَبُّكَ فَقَاتِلَا إِنَّا هَاهُنَا قَاعِدُونَ ۝ قَالَ فَإِنَّهَا مُحَرَّمَةٌ عَلَيْهِمْ أَرْبَعِينَ سَنَةً يَتِيهُونَ فِي الْأَرْضِ فَلَا تَأْسَ عَلَى الْقَوْمِ الْفَاسِقِينَ

("Wakasema: Ewe Musa! Hakika humo mna watu wenye nguvu na sisi hatutaingia humo mpaka wao watoke humo. Wakishatoka, basi tutaingia. Watu wawili miongoni mwao waliomuogopa Mwenyezi Mungu na ambao Mwenyezi Mungu amewaneemesha walisema: Waingilieni kwa kupitia mlango, mtakapoingia humo mtakuwa washindi. Na kwa Mwenyezi Mungu mtegemee ikiwa nyinyi ni waumini. Wakasema: Ewe Musa! Hatutaingia humo kamwe maadamu wao wamo. Basi nenda wewe na Mola wako mpigane, sisi tunakaa hapa. Musa akasema: Hakika ardhi hiyo imeharamishwa kwao kwa muda wa miaka arubaini, watatangatanga katika ardhi. Basi usiwaonee huruma hao watu wapotovu.")

Aya hizi zinaeleza historia ya Wana wa Israel na ardhi waliyopewa ,hivo WAPALESTINA ni wavamizi

View: https://x.com/Osint613/status/1892148857460404273
 
Back
Top Bottom