hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 13,628
- 20,992
- Thread starter
- #401
Unakwepa maswali hapa hatuzingumzii Saudia Arabia,nani anagombania Saudia Arabia ,Ni wapi Quarn imewatambua Wasaudia na nchi yao?
Usikaze fuvu. Palestina ni nchi kama ilivyo Tanzania. kabla ya uhuni wa marekani palestina ilikuwa hadi na sarafu yake na hati yake ya kusafiria. Kinachoongelewa ni wakazi wa Palestina na ardhi ya Palestina. Quran haijawahi kusema ardhi ya Gaza ni mali ya Waisrael. Biblia ndo iliweka wazi kabisa kwamba Gaza siyo ardhi wa Wana wa Israel.
Quran imewazunginzia Wana Israel tu, na urithi wa hiyo Ardhi,
Unakimbilia kusema Gaza ndio ya Waisraeli,pale Yerusalemu ,Masjid Al aqsa inafanya nini
Kama Quran inawatambua waisraeli na Ardhi ,
Unapowatetea WAPALESTINA mtuambie kwa hiyo hiyo Quran wametajwa wapi ,maana kwanza inaonesha hujui hata Jina Palestina limeanza lini