Wapalestina Waliokufa Kuanzia October 7 Hadi Leo ni 40,005

Wapalestina Waliokufa Kuanzia October 7 Hadi Leo ni 40,005

Watamaliza mabikra wote huko, imagine hao wakichukua kila mmoja 72 😂😂😂🤣🤣.
Unajua bhana! Kuna ahadi zingine mheshimiwa allah alizitoa za kutuumiza sisi wanaume, kulala mwanamke 1 kisawasawa! Ukitoka hapo mwili unausikia kabisa kwamba, kweli umetoka kwenye shughuri pevu, sasa huyo ni mmoja! 72 Je?🤣🤣
 
Watamaliza mabikra wote huko, imagine hao wakichukua kila mmoja 72 😂😂😂🤣🤣.
Unajua bhana! Kuna ahadi zingine mheshimiwa allah alizitoa za kutuumiza sisi wanaume, kulala mwanamke kisawasawa! Ukitoka hapo mwili unausikia kabisa kwamba, kweli umetoka kwenye shughuri pevu, sasa huyo ni mmoja! 72 Je?🤣🤣
 
Wakati majasiliano ya kusitisha vita yakidikiriwa huko Qatar, idadi ya Wapalestina waliokufa ni zaidi ya 40,000 na waliojeruhiwa ni zaidi ya 92,000
View attachment 3071260

Huku idadi ya watoto ikiwa ni zaidi ya 16,000

View attachment 3071261
Hivi vita visitishwe tu sasa
tafiti tz yaonyesha kila mwaka kuna wagonjwa wapya 50,000 wa kansa na figo.

Chanzo kikuu ni pamoja na kunywa mapombe makali

Na 98% hawana uwezo wa kumudu gharama za matibabu.

Kupanga ni kuchagua wote tutakufa.

Lkn ni bora kufa kuliko kupiga magoti kwa mdhalimu.

Wanafurahi udhalimu ninyi endeleeni huku mkijifariji kwa kunywa pombe kali.

Kupanga ni kuchagua
 
Unajua bhana! Kuna ahadi zingine mheshimiwa allah alizitoa za kutuumiza sisi wanaume, kulala mwanamke 1 kisawasawa! Ukitoka hapo mwili unausikia kabisa kwamba, kweli umetoka kwenye shughuri pevu, sasa huyo ni mmoja! 72 Je?🤣🤣
Ahadi ni kuwa mwili utafungwa "busta" unapiga mzigo mpaka utoe harufu ya tairi linaungua, na bado nguvu zinakuwepo.
 
Wakati majasiliano ya kusitisha vita yakidikiriwa huko Qatar, idadi ya Wapalestina waliokufa ni zaidi ya 40,000 na waliojeruhiwa ni zaidi ya 92,000
View attachment 3071260

Huku idadi ya watoto ikiwa ni zaidi ya 16,000

View attachment 3071261
Hivi vita visitishwe tu sasa
Habari inakuwa ya kipumbavu na kutokuzingatiwa maana imejaa visingizio... Tumesikia Hamas wameua raia wao kibao,Wameua Wazee wa jadi waliotaka kuongoza baadhi ya maeneo yaliyokosa serikali, wameua raia wao walikuwa wanawazuia wasiibe misaada na kuipeleka kwenye mahandaki, Makombora yao yalikosa shabaha yakaua raia wao.. hayo yote hawaandiki wanasema wameshambuliwa na Israel.. na hiyo Idadi mara kibao wameshushuliwa wakaishia kupunguza idadi ya vifo kwa mdomo ila hesabu wakaendelea nazo hadi imefika 40 T
 
Back
Top Bottom