Wapalestina waneemeka na chakula kingi cha msaada wa kimataifa kilichoibwa na kuhodhiwa godauni la hamas baada ya walinzi kulikimbia jeshi la Israel

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
wapalestina wanalia njaa, chakula chote cha misaada kinaenda kwenye magodauni ya Hamas kwajili yao na familia zao, wapalestina wa kawaida huuziwa kwa bei ya juu mno.

Palestina kuna njaa inayosababishwa na Hamas kujichukulia kimabavu misaada halafu wanaanza kuidanganya dunia kwamba ni Israel wanahusika, ni mbinu / propaganda ya kucheza na imani za watu waingiwe huruma ya kuwapa misaada mingi zaidi, misaada ikifika Gaza wanatumia wao na familia zao, huiuza kwa wapalestina ndani ya Gaza na soko la kimataifa kujiingizia mabilioni ya pesa.

Hii ni baada ya walinzi wa godauni kuona jeshi la Israel linawakaribia wakatimua mbio, wapalestina wameingia kujisevia, Gaza ni sherehe.

misaada ya chakula ya kuisaidia Gaza inaishia kwa Hamas na familia zao, pesa zinatumika kununulia wake zao pochi za milioni 87

1729800875996.png
 
wapalestina wanalia njaa, chakula chote cha misaada kinaenda kwenye magodauni ya Hamas kwajili yao na familia zao, wapalestina wa kawaida huuziwa kwa bei ya juu mno.

Palestina kuna njaa inayosababishwa na Hamas kujichukulia kimabavu misaada halafu wanaanza kuidanganya dunia kwamba ni Israel wanahusika, ni mbinu / propaganda ya kucheza na imani za watu waingiwe huruma ya kuwapa misaada mingi zaidi, misaada ikifika Gaza wanatumia wao na familia zao, huiuza kwa wapalestina ndani ya Gaza na soko la kimataifa kujiingizia mabilioni ya pesa.

Hii ni baada ya walinzi wa godauni kuona jeshi la Israel linawakaribia wakatimua mbio, wapalestina wameingia kujisevia, Gaza ni sherehe.

View attachment 3134488
Hii video unauhakika ni ya karibuni? maana last year raia walivamia ghala la UNRWA wakabeba vyakula kuna video niliitizama inafanana kiaina
 
Kama CCM vile, Pesa za misaada wanakaa nazo wao, mikopo ya Taifa wanachukua wao. Kampeni zikifika wanaanza kugawa, ukiugua utasikia mama kasaidia, mara goli la mama, mara pochi la mama. Kumbe pesa zetu zinahodhiwa na watu wachache, wao wanajiita wajanja.

Wale Washangiliaji watasema hiyo habari ni ya uongo, wakija utasikia weka SOURCE.
 
hapa naona kondoo wanajitekenya wenyewe na kucheka wenyewe.

Mwanzo wa mwisho wa mazayuni umeshaonekana.
 
Back
Top Bottom