wapalestina wanalia njaa, chakula chote cha misaada kinaenda kwenye magodauni ya Hamas kwajili yao na familia zao, wapalestina wa kawaida huuziwa kwa bei ya juu mno.
Palestina kuna njaa inayosababishwa na Hamas kujichukulia kimabavu misaada halafu wanaanza kuidanganya dunia kwamba ni Israel wanahusika, ni mbinu / propaganda ya kucheza na imani za watu waingiwe huruma ya kuwapa misaada mingi zaidi, misaada ikifika Gaza wanatumia wao na familia zao, huiuza kwa wapalestina ndani ya Gaza na soko la kimataifa kujiingizia mabilioni ya pesa.
Hii ni baada ya walinzi wa godauni kuona jeshi la Israel linawakaribia wakatimua mbio, wapalestina wameingia kujisevia, Gaza ni sherehe.

Kama CCM vile, Pesa za misaada wanakaa nazo wao, mikopo ya Taifa wanachukua wao. Kampeni zikifika wanaanza kugawa, ukiugua utasikia mama kasaidia, mara goli la mama, mara pochi la mama. Kumbe pesa zetu zinahodhiwa na watu wachache, wao wanajiita wajanja.
Wale Washangiliaji watasema hiyo habari ni ya uongo, wakija utasikia weka SOURCE.
Lete ukweli basi.... Ila waislam ni kawaida kwao.. hata Allah after 600 years akasema yule aliyesulubiwa hakuwa Yesu bali alimbadilisha mtu mwingine sura ifanane na ya Yesu... hahaha tunasubiri miaka ijayo aje aseme kuwa Mohamed mnaemsoma sio bali alikuwa ni Donald Trump