Wapalestina wapata faraja,Saudia na Qatar wakataa mkono wa Israel

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Saudi Arabia mwanamfalme Faisal bin Farhan amesema kurejeshwa kwa uhusiano na Israel ni lazima kuambatane na kuundwa kwa taifa la Palestina iliyo na mamlaka kamili na Israel iodoe majeshi yake kwenye ardhi ilizoziteka mwaka 1967 na irudishe ardhi inazozijenga hivi sasa ndani ya Palestinasaid,
Hayo aliyasema hapo juzi katika mkutano wa kila mwaka ujulikanao kama Mediterranean Dialogue uliofanyika Italy jana Ijumaa.
Sambamba na msimamo huo wa Saudia waziri wa mambo ya nje wa Qatar naye amesema haoni umuhimu wa kurudisha uhusiano na Israel muda huu na kwamba mpango wanaoendelea nao kwa kushirikiana na Israel wa kuwapelekea misaada wapalestina unatosha.Kauli ya mawaziri hao imekuja wakati ambapo Marekani Israel wamekuwa wakitangaza kila leo kuwa kuna mataifa kadhaa ya kiarabu yako mbioni kufuata mkumbo wa UAE,Bahrain na Sudan na kupelelekea watu kudhani anayefuatia ni Saudia
1607157983138.png
 
Saudia na Qatar pamoja na UAE Ni vibaraka tu wa us na Israel.. hawana Nia na malengo thabiti ya kulijenga na kuliunganisha taifA la wapalestina lililogawanyika na Sasa kusahaulika..
Iran pekee Ni mshirika makini wa ujenzi wa taifA la wapalestina..
Wapalestina wanaangamia kufukuzwa, kutawaliwa kwenye taifa waliloishi kwa miaka zaidi ya 5000.. isitoshe kudai Uhuru wao kila mmoja anawaita magaidi!
Dunia imewatenga
 
Miaka 5000? Hiyo Chumvi mkuu.
Hivi wapalestina majority ni Shia au sunni?
 
Saudia na Qatar pamoja na UAE Ni vibaraka tu wa us na Israel.. hawana Nia na malengo thabiti ya kulijenga na kuliunganisha taifA la wapalestina lililogawanyika na Sasa kusahaulika..
Iran pekee Ni mshirika makini wa ujenzi wa taifA la wapalestina..
Wapalestina wanaangamia kufukuzwa, kutawaliwa kwenye taifa waliloishi kwa miaka zaidi ya 5000.. isitoshe kudai Uhuru wao kila mmoja anawaita magaidi!
Dunia imewatenga
😄😄😄Miaka 5000 hivi hizi historia huwa mnazipata wapi?😄😄😄
 
Saudi ni wanafiki kwa sababu walidhani Trump atashinda uchaguzi wakaamua kusaini huo unafiki ili kuongeza support ya Trump kwenye uchaguzi, kapigwa chini wanajistukia! Hao Qatar wana msimamo tangu mwanzo wao waligoma kukaa meza moja na Israel kama Wapalestina hawapo. Na Biden hicho kilichosainiwa na Trump hatakitambua.
Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Saudi Arabia mwanamfalme Faisal bin Farhan amesema kurejeshwa kwa uhusiano na Israel ni lazima kuambatane na kuundwa kwa taifa la Palestina iliyo na mamlaka kamili na Israel iodoe majeshi yake kwenye ardhi ilizoziteka mwaka 1967 na irudishe ardhi inazozijenga hivi sasa ndani ya Palestinasaid,
Hayo aliyasema hapo juzi katika mkutano wa kila mwaka ujulikanao kama Mediterranean Dialogue uliofanyika Italy jana Ijumaa.
Sambamba na msimamo huo wa Saudia waziri wa mambo ya nje wa Qatar naye amesema haoni umuhimu wa kurudisha uhusiano na Israel muda huu na kwamba mpango wanaoendelea nao kwa kushirikiana na Israel wa kuwapelekea misaada wapalestina unatosha.Kauli ya mawaziri hao imekuja wakati ambapo Marekani Israel wamekuwa wakitangaza kila leo kuwa kuna mataifa kadhaa ya kiarabu yako mbioni kufuata mkumbo wa UAE,Bahrain na Sudan na kupelelekea watu kudhani anayefuatia ni Saudia
View attachment 1642086
 
unajua hii issue ya palestine imekaa kisiasa zaidi na si kidini zaidi kama baadhi ya wadau wanavyodhani, lakin pia kichekesho zaidi ni kuwa wale wadau muhimu zaidi katika hii issue kina misri,saudi, UAE iran pia uturuki wanaangalia kuwa suluhu ya mgogoro huu utaathiri vipi interests zao na sio kwamba utawanufaish vipi wapalestine,
mfano kpnd cha nyuma uturuki ilikuwa na uhusiano imara sana na israeli walidhan hio itawasaidi sn wao kupata political support kujiunga na umoja wa ulaya ila baada ya kuona hisaidii walipopata excuse ya kubadili direction wakafanya hivyo,
Rais Assad wa syria nae alisema hatonormalize uhusiano wake na israel mpk mgogoro wao wa golan usuluhishwe
Kimsingi siasa za mashariki ya kati na mataifa yenye waislamu wengi zimebadilika sana nchi hizi kwa sasa zinaangalia sana maslahi yao binafsi kwanza then palestina inafuata, support imebakia tu mitandaoni au kwa wananchi wa kawaida ila serikali zao zimekuwa makini kubalance interests za taifa na issue ya palestina, hata hao kina Iran ile hostility yao kwa israel inawasaidia kwenye siasa zao na projects zao mashariki ya kati na uwepo wa israel umewasaidia saana wao kujustify mambo yao, wapalestina wanatumika sana na mataifa ya nje kwa maslahi yao zaidi na si kwa maslah ya wapalestina wenyewe
 
Ngoja tuone...

Cc: mahondaw
Leo tena nchi waziri wa mambo ya nje wa Baharain iliyotangulia kuruhusu mahusiano na Israel miezi miwili iliyopita amesema nchi yake haitaruhusu kupokea bdhaa kutoka Israel zilizozalishwa kwenye makazi mapya ya mayahudi yaliyojengwa kwenye ardhi za Palestina.Ametamka hayo alipokuwa akizungumzia kauli iliyotolewa na waziri wa biashara Zayed bin Rashid al-Zayani wiki iliyopita kuwa hawatobagua bidhaa kutoka Israel.
Msimamo huo umetolewa na bwana Abdullatif Al-Zayani mbele ya waziri mwenzake wa mambo ya nje wa Palestina bw.Riyad al-Maliki
 
Saudia na Qatar pamoja na UAE Ni vibaraka tu wa us na Israel.. hawana Nia na malengo thabiti ya kulijenga na kuliunganisha taifA la wapalestina lililogawanyika na Sasa kusahaulika..
Iran pekee Ni mshirika makini wa ujenzi wa taifA la wapalestina..
Wapalestina wanaangamia kufukuzwa, kutawaliwa kwenye taifa waliloishi kwa miaka zaidi ya 5000.. isitoshe kudai Uhuru wao kila mmoja anawaita magaidi!
Dunia imewatenga
Israel inarudisha maeneo yake, hao walikuwa wamiliki haramu. Saudi Arabia anazuga tu, anahitaji support ya Israel na USA kumkabili Iran. Lazima hadharani azungumze hivyo lakini moyoni anashangaa ni kwa nini wapelestina wasihamie maeneo mengine.
 
Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Saudi Arabia mwanamfalme Faisal bin Farhan amesema kurejeshwa kwa uhusiano na Israel ni lazima kuambatane na kuundwa kwa taifa la Palestina iliyo na mamlaka kamili na Israel iodoe majeshi yake kwenye ardhi ilizoziteka mwaka 1967 na irudishe ardhi inazozijenga hivi sasa ndani ya Palestinasaid,
Hayo aliyasema hapo juzi katika mkutano wa kila mwaka ujulikanao kama Mediterranean Dialogue uliofanyika Italy jana Ijumaa.
Sambamba na msimamo huo wa Saudia waziri wa mambo ya nje wa Qatar naye amesema haoni umuhimu wa kurudisha uhusiano na Israel muda huu na kwamba mpango wanaoendelea nao kwa kushirikiana na Israel wa kuwapelekea misaada wapalestina unatosha.Kauli ya mawaziri hao imekuja wakati ambapo Marekani Israel wamekuwa wakitangaza kila leo kuwa kuna mataifa kadhaa ya kiarabu yako mbioni kufuata mkumbo wa UAE,Bahrain na Sudan na kupelelekea watu kudhani anayefuatia ni Saudia
View attachment 1642086
Hao saudia ni wanafiki
 
Back
Top Bottom