Wapambana Rushwa wanapopewa wanaochunguzwa kuwaongoza

busar

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2011
Posts
1,071
Reaction score
1,070
Wadau

Nimeona kwa kipindi kirefu Sasa Taasisi ya TAKUKURU inapewa watu kutoka nje kuiongoza. Nina maswali kadhaa,
1. Taasisi hii ina professional discipline? Au wanajiendea endea tu? Maake inaongozwaje na Kila mtu ?
2. Internally ina succession plans? Kama wanayo hao waliotakiwa kuwa katika nafasi husika huwa wanajisikiaje?

3. Hii Taasisi inawezaje kutunza organization culture? Kama Kila muda inapewa mtu mwenye culture tofauti kuiongoza?

Mwisho kwanini wanaoteuwa wanadhani hii Taasisi inaweza kuongozwa na yeyote?

Leo nimekuwa na maswali kuliko majibu

Nyongeza.

Je tunaweza kuunda Taasisi imara ? Kwa namna gani ?
 
Kama ndani mwao wametanguliza mazoea zaidi, hapana Budi kupewa changamoto mpya ili wawezekujifunza, kwani mara zote panapo mageuzi hapakosi wasiotaka mageuzi.
 
Kwa rushwa zote hizo ambazo polisi wanajihusisha nazo, leo hii ndo mmoja wao anapewa mamlaka ya kusimamia taasisi ya kupambana na rushwa? ama kweli...
 
Wadau

Nimeona kwa kipindi kirefu Sasa Taasisi ya TAKUKURU inapewa watu kutoka nje kuiongoza. Nina maswali kadhaa,
1. Taasisi hii ina professional discipline? Au wanajiendea endea tu? Maake inaongozwaje na Kila mtu ?
2. Internally ina succession plans? Kama wanayo hao waliotakiwa kuwa katika nafasi husika huwa wanajisikiaje?

3. Hii Taasisi inawezaje kutunza organization culture? Kama Kila muda inapewa mtu mwenye culture tofauti kuiongoza?

Mwisho kwanini wanaoteuwa wanadhani hii Taasisi inaweza kuongozwa na yeyote?

Leo nimekuwa na maswali kuliko majibu
Umeuliza maswali ya msingi sana ambayo sitegemei utapata jibu sahihi hapa JF.

Sisi tutabahatisha tu kwa majibu yetu.

Kwa mfano: huenda utendaji wenu huko huko ndani una matatizo.

Mnaweza kuwa ni sehemu ya tatizo mnalolitafutia ufumbuzi?

Kwa hiyo ni muhimu kwenu kujidadisi ndani kwa ndani kuhusu maswali hayo uliyouliza hapa; huko ndiko mtakapopata jibu sahihi.

Kwa nini hamuaminiwi kwamba mnaweza kujiongoza?
 
TAKUKURU haiko professional sema tu hawataki kukubali hakuna kiongozi au mtumishi yeyote wa taasisi hiyo mwenye elimu ya maswala ya kupambana na rushwa aliyebobea zaidi ya basic investigation course ambayo haitambuliki kimataifa.

BIC kila mtu anaweza kuwa nayo i.e JKT,POLISI,MAGEREZA,n.k.

Viongozi wengi waliopo huko ni wapiga ramri tu hawana ujuzi wala maono na ni watu wa mwambafai na kukandamiza haki za watu.
 
Taasisi inayofanya kazi kwa uonevu haiwezi kujipima hata siku moja hadi itakapotenda haki ndani yake yenyewe kwanza kama hakuna haki ndani yake ni bure tu!!!
 
Naona una-bifu binafsi na watu hao, kiasi kwamba unapoteza 'objectivity' kabisa juu ya taasisi hiyo muhimu.
Taasisi inayofanya kazi kwa uonevu haiwezi kujipima hata siku moja hadi itakapotenda haki ndani yake yenyewe kwanza kama hakuna haki ndani yake ni bure tu!!!
Kuna jambo walikufanyia?
 
TAKUKURU haiko professional sema tu hawataki kukubali hakuna kiongozi au mtumishi yeyote wa taasisi hiyo mwenye elimu ya maswala ya kupambana na rushwa aliyebobea zaidi ya basic investigation course ambayo haitambuliki kimataifa.

BIC kila mtu anaweza kuwa nayo i.e JKT,POLISI,MAGEREZA,n.k.

Viongozi wengi waliopo huko ni wapiga ramri tu hawana ujuzi wala maono na ni watu wa mwambafai na kukandamiza haki za watu.
Naikubali hii point
 
Ahaahaa Kalamu 1 hakuna nilipopinga kuwa takukuru siyo taasisi nyeti au taasisi hiyo eti wamenifanyia kitu kibaya la hasha naongelea uhalisia wanayo mazuri sana wamepanga kuyafanya au wameyafanya.

Sijaongelea objectivity hata kidogo nielewe mzee nimeongelea professionalism ambapo kiuhakika Polisi wako vizuri katika hili kuliko takukuru yako na ndiyo maana wenye kuona mbali wanamshauri Rais ateue kiongozi wa juu kutoka polisi kwa mara ya tatu kama sikosei i.e. mlowola,diwani na sasa aliyeteuliwa.

Rejea utendaji kazi wa anti corruption ya polisi kipindi hicho utapata jibu hakuna chuki hapa wala ushabiki bali mapenzi mema tu.
 
Rejea mfano mmoja tu wa ujenzi wa nyumba yao wenyewe dodoma hata Marehemu Rais mwendazake hakuridhika kabisa kwani taasisi haikutenda haki ndani yake kwani thamani ya jengo na jengo lenyewe havikuendana kabisa.

Tusiwe watu wa kupiga makofi kwa sababu tu tunamikono hapana!!
 
Naikubali hii point
Busar ni ngumu sana kuielewa hii point bali polisi wako vizuri kuliko takukuru hata jwtz katika kupambana na rushwa.

Kupambana na rushwa kunahitaji weredi na umahiri kupitia uchunguzi wa kitaalamu siyo kupokea taarifa,kuchunguza na kufikisha mahakamani kisha kukimbilia kwenye vyombo vya habari kutoa taarifa ya idadi ya kesi zilizoko mahakamani,je zina mashiko kama alivyosema Mama, hapana!!!!!
 
Kwa rushwa zote hizo ambazo polisi wanajihusisha nazo, leo hii ndo mmoja wao anapewa mamlaka ya kusimamia taasisi ya kupambana na rushwa? ama kweli...
Hamduni ni mmoja kati ya kamanda miadilifu sana, ninamfahamu kwa ukaribu sana
 
hapo wamechemka,polisi wanakula rushwa sana
Kula rushwa siyo shida mchawi mpe mwana akulele,wapo viongozi na watumishi ndani ya jeshi la polisi wana maadili na heshima nzuri tu na kuna pia kuna mtandao ndani ya polisi wanakula rushwa na kubambikizia watu kesi ila siyo wote.

Wanaokula rushwa ndani ya polisi wanajulikana na wanatajwatajwa tatizo ni mtandao wa hao wala rushwa ndani ya polisi ukidhibitiwa utaisha tu.

Mfano kiongozi ndani ya jeshi la polisi akimlinda askari mlarushwa au mbambika kesi naye anawajibishwa watabadirika tu
 
Back
Top Bottom