Sana JohnHii ni sawa na kitengo cha polisi!
SawaKwani ile Katiba ya ccm ya mwaka 1977 inasemaje? Kama vipi tuungane kuipigania Katiba Mpya ya Wananchi, ili kuepukana na hayo maruweruwe yasiyo isha
Umeuliza maswali ya msingi sana ambayo sitegemei utapata jibu sahihi hapa JF.Wadau
Nimeona kwa kipindi kirefu Sasa Taasisi ya TAKUKURU inapewa watu kutoka nje kuiongoza. Nina maswali kadhaa,
1. Taasisi hii ina professional discipline? Au wanajiendea endea tu? Maake inaongozwaje na Kila mtu ?
2. Internally ina succession plans? Kama wanayo hao waliotakiwa kuwa katika nafasi husika huwa wanajisikiaje?
3. Hii Taasisi inawezaje kutunza organization culture? Kama Kila muda inapewa mtu mwenye culture tofauti kuiongoza?
Mwisho kwanini wanaoteuwa wanadhani hii Taasisi inaweza kuongozwa na yeyote?
Leo nimekuwa na maswali kuliko majibu
TAKUKURU haiko professional sema tu hawataki kukubali hakuna kiongozi au mtumishi yeyote wa taasisi hiyo mwenye elimu ya maswala ya kupambana na rushwa aliyebobea zaidi ya basic investigation course ambayo haitambuliki kimataifa.Wadau
Nimeona kwa kipindi kirefu Sasa Taasisi ya TAKUKURU inapewa watu kutoka nje kuiongoza. Nina maswali kadhaa,
1. Taasisi hii ina professional discipline? Au wanajiendea endea tu? Maake inaongozwaje na Kila mtu ?
2. Internally ina succession plans? Kama wanayo hao waliotakiwa kuwa katika nafasi husika huwa wanajisikiaje?
3. Hii Taasisi inawezaje kutunza organization culture? Kama Kila muda inapewa mtu mwenye culture tofauti kuiongoza?
Mwisho kwanini wanaoteuwa wanadhani hii Taasisi inaweza kuongozwa na yeyote?
Leo nimekuwa na maswali kuliko majibu
Taasisi inayofanya kazi kwa uonevu haiwezi kujipima hata siku moja hadi itakapotenda haki ndani yake yenyewe kwanza kama hakuna haki ndani yake ni bure tu!!!Umeuliza maswali ya msingi sana ambayo sitegemei utapata jibu sahihi hapa JF.
Sisi tutabahatisha tu kwa majibu yetu.
Kwa mfano: huenda utendaji wenu huko huko ndani una matatizo.
Mnaweza kuwa ni sehemu ya tatizo mnalolitafutia ufumbuzi?
Kwa hiyo ni muhimu kwenu kujidadisi ndani kwa ndani kuhusu maswali hayo uliyouliza hapa; huko ndiko mtakapopata jibu sahihi.
Kwa nini hamuaminiwi kwamba mnaweza kujiongoza?
Naona una-bifu binafsi na watu hao, kiasi kwamba unapoteza 'objectivity' kabisa juu ya taasisi hiyo muhimu.TAKUKURU haiko professional sema tu hawataki kukubali hakuna kiongozi au mtumishi yeyote wa taasisi hiyo mwenye elimu ya maswala ya kupambana na rushwa aliyebobea zaidi ya basic investigation course ambayo haitambuliki kimataifa.
BIC kila mtu anaweza kuwa nayo i.e JKT,POLISI,MAGEREZA,n.k.
Viongozi wengi waliopo huko ni wapiga ramri tu hawana ujuzi wala maono na ni watu wa mwambafai na kukandamiza haki za watu.
Kuna jambo walikufanyia?Taasisi inayofanya kazi kwa uonevu haiwezi kujipima hata siku moja hadi itakapotenda haki ndani yake yenyewe kwanza kama hakuna haki ndani yake ni bure tu!!!
Ukumbuke hata Diwani Athumani alitokea polisiKwa rushwa zote hizo ambazo polisi wanajihusisha nazo, leo hii ndo mmoja wao anapewa mamlaka ya kusimamia taasisi ya kupambana na rushwa? ama kweli...
Naikubali hii pointTAKUKURU haiko professional sema tu hawataki kukubali hakuna kiongozi au mtumishi yeyote wa taasisi hiyo mwenye elimu ya maswala ya kupambana na rushwa aliyebobea zaidi ya basic investigation course ambayo haitambuliki kimataifa.
BIC kila mtu anaweza kuwa nayo i.e JKT,POLISI,MAGEREZA,n.k.
Viongozi wengi waliopo huko ni wapiga ramri tu hawana ujuzi wala maono na ni watu wa mwambafai na kukandamiza haki za watu.
Busar ni ngumu sana kuielewa hii point bali polisi wako vizuri kuliko takukuru hata jwtz katika kupambana na rushwa.Naikubali hii point
Hamduni ni mmoja kati ya kamanda miadilifu sana, ninamfahamu kwa ukaribu sanaKwa rushwa zote hizo ambazo polisi wanajihusisha nazo, leo hii ndo mmoja wao anapewa mamlaka ya kusimamia taasisi ya kupambana na rushwa? ama kweli...
Kula rushwa siyo shida mchawi mpe mwana akulele,wapo viongozi na watumishi ndani ya jeshi la polisi wana maadili na heshima nzuri tu na kuna pia kuna mtandao ndani ya polisi wanakula rushwa na kubambikizia watu kesi ila siyo wote.hapo wamechemka,polisi wanakula rushwa sana