Mbona TRA kamishna mkuu anatoka nje na mashirika au taasisi nyingi viongozi wakuu wanatoka nje ya taasisi na hatujakusikia kuongea hayo yote au sababu ni TAKUKURU mkuu.Wadau
Nimeona kwa kipindi kirefu Sasa Taasisi ya TAKUKURU inapewa watu kutoka nje kuiongoza. Nina maswali kadhaa,
1. Taasisi hii ina professional discipline? Au wanajiendea endea tu? Maake inaongozwaje na Kila mtu ?
2. Internally ina succession plans? Kama wanayo hao waliotakiwa kuwa katika nafasi husika huwa wanajisikiaje?
3. Hii Taasisi inawezaje kutunza organization culture? Kama Kila muda inapewa mtu mwenye culture tofauti kuiongoza?
Mwisho kwanini wanaoteuwa wanadhani hii Taasisi inaweza kuongozwa na yeyote?
Leo nimekuwa na maswali kuliko majibu
Acha kukalili wewe,sio kila askali polisi ni mla rushwaKwa JWTZ was ok,ila Kwa police a big no
Pamoja na ujinga wake, anayo hoja ndani yakeNaona una-bifu binafsi na watu hao, kiasi kwamba unapoteza 'objectivity' kabisa juu ya taasisi hiyo muhimu.
Kuna jambo walikufanyia?
Naungana na wewe mkuu, katika suala la upelelezi nawakubali sana polisiAhaahaa Kalamu 1 hakuna nilipopinga kuwa takukuru siyo taasisi nyeti au taasisi hiyo eti wamenifanyia kitu kibaya la hasha naongelea uhalisia wanayo mazuri sana wamepanga kuyafanya au wameyafanya.
Sijaongelea objectivity hata kidogo nielewe mzee nimeongelea professionalism ambapo kiuhakika Polisi wako vizuri katika hili kuliko takukuru yako na ndiyo maana wenye kuona mbali wanamshauri Rais ateue kiongozi wa juu kutoka polisi kwa mara ya tatu kama sikosei i.e. mlowola,diwani na sasa aliyeteuliwa.
Rejea utendaji kazi wa anti corruption ya polisi kipindi hicho utapata jibu hakuna chuki hapa wala ushabiki bali mapenzi mema tu.
Sijaelewa unamaanisha nani ni mjinga na katika lipi?fafanua!!Pamoja na ujinga wake, anayo hoja ndani yake
InTaasisi inayofanya kazi kwa uonevu haiwezi kujipima hata siku moja hadi itakapotenda haki ndani yake yenyewe kwanza kama hakuna haki ndani yake ni bure tu!!!
Labda tuhoji sasa mfumo wao wa mafunzo hawa TAKUKURUNaungana na wewe mkuu, katika suala la upelelezi nawakubali sana polisi
Mkuu una hoja ya Msingi. Tuliosoma management tunakuelewa sana. Nadhani hapana niavya dhati ya kujenga taasisi imara. Pamekuwa na malengo ya muda mfupi Tena ya kisiasa zaidiWadau
Nimeona kwa kipindi kirefu Sasa Taasisi ya TAKUKURU inapewa watu kutoka nje kuiongoza. Nina maswali kadhaa,
1. Taasisi hii ina professional discipline? Au wanajiendea endea tu? Maake inaongozwaje na Kila mtu ?
2. Internally ina succession plans? Kama wanayo hao waliotakiwa kuwa katika nafasi husika huwa wanajisikiaje?
3. Hii Taasisi inawezaje kutunza organization culture? Kama Kila muda inapewa mtu mwenye culture tofauti kuiongoza?
Mwisho kwanini wanaoteuwa wanadhani hii Taasisi inaweza kuongozwa na yeyote?
Leo nimekuwa na maswali kuliko majibu
Kwa maoni yangu Ni kinyume. Hii taasisi haijapewa Uhuru wa kukua yenyewe au kutambulika kuwa imekuwa. Kwa kuwa ilianzishwa mainly kutoka polisi basi imefanywa mtoto mchanga siku zoteUmeuliza maswali ya msingi sana ambayo sitegemei utapata jibu sahihi hapa JF.
Sisi tutabahatisha tu kwa majibu yetu.
Kwa mfano: huenda utendaji wenu huko huko ndani una matatizo.
Mnaweza kuwa ni sehemu ya tatizo mnalolitafutia ufumbuzi?
Kwa hiyo ni muhimu kwenu kujidadisi ndani kwa ndani kuhusu maswali hayo uliyouliza hapa; huko ndiko mtakapopata jibu sahihi.
Kwa nini hamuaminiwi kwamba mnaweza kujiongoza?
Ndo Yale yale tuMbona TRA kamishna mkuu anatoka nje na mashirika au taasisi nyingi viongozi wakuu wanatoka nje ya taasisi na hatujakusikia kuongea hayo yote au sababu ni TAKUKURU mkuu.
Mfumo wa mafunzo ubadilishwe na uwe wa kiujuzi na kinkakati katika kutokomeza rushwa na kuwe na uhuru kama ilivyo ktk nchi nyingine siyo ubabe ndani na nje ya taasisi.In
Labda tuhoji sasa mfumo wao wa mafunzo hawa TAKUKURU
Kwa JWTZ was ok,ila Kwa police a big no
be-all and end-allKwani ile Katiba ya ccm ya mwaka 1977 inasemaje? Kama vipi tuungane kuipigania Katiba Mpya ya Wananchi, ili kuepukana na hayo maruweruwe yasiyo isha
Hivi ukitaja rushwa nchi hii katika vyombo vya ulinzi akili yako inkutuma JWTZ au POLICE?Why?
Nakumbuka nepotism ya takukuru ya mjeda ? Ati ikanywea kushughurikia walarushwa wanasiasa eti wakashugurikiwe na CCM kuanzia hapo nikaidharau takukuruHivi ukitaja rushwa nchi hii katika vyombo vya ulinzi akili yako inkutuma JWTZ au POLICE?
We unafikiri huyo police aliyeteuliwa mpaka SASA hajawahi pokea rushwa? Au hajawahi ona rushwa ikitembea waziwazi Huku akijua na kuinyamazia Kimya!
Nilitegemea Huku kujaa thread za watu wakipinga hiyo Taasisi ya TAKUKURU kukabiziwi police ili wajitathmni zaid na said,
Binafsi ktk Maisha yangu Kwa kusikia,kuona,kushiriki Jambo lolote linalowahusisha askari iwe Kwa kukamatwa ndugu,mtaani,Barabarani matrafik n.k sijawahi sikia askari akipinga rushwa zaidi ya kutoa maelekezo rushwa zao watazipataje ama zipelekwe Kwa Nani ili isiwe direct.
Kwa Hyo sikubaliani nao hao watu kitengo hicho
Kwa Polisi ni OK. Polisi kisheria ndio wenye dhamana ya kushughulikia (kupeleleza) jinai zote na rushwa ikiwemo. Refer kesi ya R Vs Jerry Murro ambapo upande wa utetezi uliibua hoja kuwa, kama Jerry Murro aliomba rushwa kwa nini aliyeombwa rushwa hakwenda PCCB na akaenda Polisi? Hapa utetezi ulitaka kujenga hoja kuwa, inawezekana kuna mchezo ulikuwa umechezwa na Polisi na mtoa taarifa dhidi ya Jerry. Lakini mahakama ikaeleza kuwa, Polisi haizuiwi kwa vyovyote vile kudili na jinai yoyote ile, iwe jinai hiyo ina mamlaka yake tofauti kama ilivyo rushwa au lah.Kwa JWTZ was ok,ila Kwa police a big no
Nadhani upo sahihi mkuu.Kwa maoni yangu Ni kinyume. Hii taasisi haijapewa Uhuru wa kukua yenyewe au kutambulika kuwa imekuwa. Kwa kuwa ilianzishwa mainly kutoka polisi basi imefanywa mtoto mchanga siku zote