MIXOLOGIST JF-Expert Member Joined Mar 1, 2016 Posts 14,311 Reaction score 36,056 Jan 10, 2023 #21 amadala said: View attachment 2475951 Click to expand... Umefunga mjadala. This dude is trying to look rich
amadala said: View attachment 2475951 Click to expand... Umefunga mjadala. This dude is trying to look rich
chizcom JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 8,680 Reaction score 18,035 Jan 10, 2023 #22 Ni kweli yani utakuta misemo yao "watoto wa kishua ","watoto wamatajiri" ,"Nyie kwenu mlizaliwa pazuri". shwain mkubwa .Ndio wakati wako hata kama huna kitu ili mtoto aje kujisifu kizazi chako kuwa baba alinunua shamba hapa sasa ni mji
Ni kweli yani utakuta misemo yao "watoto wa kishua ","watoto wamatajiri" ,"Nyie kwenu mlizaliwa pazuri". shwain mkubwa .Ndio wakati wako hata kama huna kitu ili mtoto aje kujisifu kizazi chako kuwa baba alinunua shamba hapa sasa ni mji