Wapambe wanavyojaribu kumchonganisha na Nduga na Rais Samia

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
14,422
Reaction score
7,350
Kuna mjadala mkali Sana ishu ya mikopo ya Nchi ,Kwa makusudi au Kwa Nia hovu wapambe wanatufuta namna ya kumchonganisha Ndugai na Rais

Binafsi nilimsikiliz Ndugai wala hakua anamkosoa Rais Samia ,Bali alikua anatoa hamasa Kwa jamii yake umuhimu wa Tozo (ili wengi wamelihaacha Kwa Nia mbaya Yao)

Ndugai alikua anawaambia Wananchi wasinung'unike katika Tozo ,kwasababu mikopo inaumiza si Kwa ubaya Ila machawa wamegeuka
 
Hapo kuna kitu kinatafutwa na wanaokitafuta hawawezi kujua hatima yake.

Mfano ili nchi au chama kumeguka lazima kuwepo na kashikashi kama hizi na wanaozipa promo bawajui kinachokuja kutokea.

Turudi nyuma.
Watanzania hatukuzoea kuongozwa kwa kuendeshwa na kiongozi kama Magufuli, tumezoea kupelekwa kama yatima hadeki.

Hatukuzoea kuona Rais anasemwa, ila anapakwa mafuta liwe baya au zuri, now days wale walioonja joto ya jiwe ndiyo haww ambao leo wanatumia nguvu za aina yote kusambaratisha kumsema rais.

Kama ulimsikiliza Lissu aligusia issue ya mikopo kuwa imekuwa too much na akamuunga mkono Job, so wanachokifanya wapambe ni kutojua wanasindika tukio wasilolijua lije kuwa wazi.
 
Kuna mjadala mkali Sana ishu ya mikopo ya Nchi ,Kwa makusudi au Kwa Nia hovu wapambe wanatufuta namna ya kumchonganisha Ndugai na Rais

Binafsi nilimsikiliz Ndugai wala hakua anamkosoa Rais Samia ,Bali alikua anatoa hamasa Kwa jamii yake umuhimu wa Tozo (ili wengi wamelihaacha Kwa Nia mbaya Yao)

Ndugai alikua anawaambia Wananchi wasinung'unike katika Tozo ,kwasababu mikopo inaumiza si Kwa ubaya Ila machawa wamegeuka
kosa la ndugai ni kusema nchi itapigwa mnada hii basi
 
Ukweli lazima usemwe.

Huyu mama anakopa kwa kasi sana, na hatujui inafanya kazi gani.

#kataawahuni
 
Screenshot_20220101-100259.jpg
 
Kosa la ndugai ni kuhoji matumizi ya tozo na umuhimu wake ambao tumeenda chukua mkopo huo huo
 
Kuna mjadala mkali Sana ishu ya mikopo ya Nchi ,Kwa makusudi au Kwa Nia hovu wapambe wanatufuta namna ya kumchonganisha Ndugai na Rais

Binafsi nilimsikiliz Ndugai wala hakua anamkosoa Rais Samia ,Bali alikua anatoa hamasa Kwa jamii yake umuhimu wa Tozo (ili wengi wamelihaacha Kwa Nia mbaya Yao)

Ndugai alikua anawaambia Wananchi wasinung'unike katika Tozo ,kwasababu mikopo inaumiza si Kwa ubaya Ila machawa wamegeuka
Na hivi ndivyo hata mimi nilivyo muelewa nimeshangaa haya mengine yaliko tokea, kuna mambo kweli ndungai simuungi mkono lakini kwa hili la sasa naona wamemuonea na kumzulia mgogoro ambao wala haupo
 
Sio anakopa sana sema Muwazi sana

JPM angekuwepo bado tungeaminishwa barabara ya Morocco -Mwenge imejengwa kwa fedha za kuahirishwa sherehe za Uhuru 2015 kumbe alisaini mkopo kisiri siri

Huu mkopo unaojenga Madarasa nchi nzima na sector ya Afya tungeambiwa tutembee kidali mbele kwa kujenga kwa fedha za ndani

Back
Top Bottom