Tena mpaka vyama vya upinzani vinaungana na wakina KihongosiKuna mjadala mkali Sana ishu ya mikopo ya Nchi ,Kwa makusudi au Kwa Nia hovu wapambe wanatufuta namna ya kumchonganisha Ndugai na Rais..
kosa la ndugai ni kusema nchi itapigwa mnada hii basiKuna mjadala mkali Sana ishu ya mikopo ya Nchi ,Kwa makusudi au Kwa Nia hovu wapambe wanatufuta namna ya kumchonganisha Ndugai na Rais
Binafsi nilimsikiliz Ndugai wala hakua anamkosoa Rais Samia ,Bali alikua anatoa hamasa Kwa jamii yake umuhimu wa Tozo (ili wengi wamelihaacha Kwa Nia mbaya Yao)
Ndugai alikua anawaambia Wananchi wasinung'unike katika Tozo ,kwasababu mikopo inaumiza si Kwa ubaya Ila machawa wamegeuka
Na hivi ndivyo hata mimi nilivyo muelewa nimeshangaa haya mengine yaliko tokea, kuna mambo kweli ndungai simuungi mkono lakini kwa hili la sasa naona wamemuonea na kumzulia mgogoro ambao wala haupoKuna mjadala mkali Sana ishu ya mikopo ya Nchi ,Kwa makusudi au Kwa Nia hovu wapambe wanatufuta namna ya kumchonganisha Ndugai na Rais
Binafsi nilimsikiliz Ndugai wala hakua anamkosoa Rais Samia ,Bali alikua anatoa hamasa Kwa jamii yake umuhimu wa Tozo (ili wengi wamelihaacha Kwa Nia mbaya Yao)
Ndugai alikua anawaambia Wananchi wasinung'unike katika Tozo ,kwasababu mikopo inaumiza si Kwa ubaya Ila machawa wamegeuka
Ukweli lazima usemwe.
Huyu mama anakopa kwa kasi sana, na hatujui inafanya kazi gani.
#kataawahuni