Wapangaji AICC Arusha wapewa notisi ya kuhama ndani ya Siku 90

Wapangaji AICC Arusha wapewa notisi ya kuhama ndani ya Siku 90

AICC wenyewe wanaweza.
Kama wanaweza kipi.kimewashinda kuweza over years?

By the way kwani Wameshindwa? Hiyo PPP unaijua inavyofanya kazi au unaropoka tuu?

Mwisho nikutajie miradi mingine ya taasisi ambayo inafanya na PPP inayohusisha Majengo Dar,Iringa na Arusha?
 
Kwa mtu aliyekaa eneo moja kwa miaka 40 lazima aone miezi 3 ni kidogo.

Kuna machungu ya hiyo notice kama hawakujiandaa. Unaweza ona ajabu ila kuna ambao hapo pamageuka kama nyumbani kwao kabisa. Wamesahau kuwa ni wapangaji.

Ila tatizo sasa hizo ni nyumba za watu na naamini kuna mradi unataka kufanyika hapo.

Poleni sana wahusika ila ndio hivyo, hizo ni mali za watu.
 
Machawa ni wengi kuliko tunavyodhania!

Kuupiga mwingi kunahusiana nini na watu kufurushwa pangoni?
Bosi wewe unaona hiyo ni kitu ya kawaida kweli?! Tena kipindi hiki Cha uchaguzi?! Sasa kwanini tusishangae kwa msemo wao huo maarufu?
 
Back
Top Bottom