Wapare Mungu anawaona! !!

Wapare Mungu anawaona! !!

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,379
Reaction score
41,294
Wakiongozwa na mshana jr hii ni hatari kwa usalama wenu barabarani heheheheee.

Wapare ni watani zangu hivo tucheke wote tuu ila mna tabasamu zurii. .... kama la huyu kaka kwenye picha heheheh.

IMG-20160920-WA0006.jpg

Wakedhije wa kaka.
 
Wakiongozwa na mshana jr hii ni hatari kwa usalama wenu barabarani heheheheee.

Wapare ni watani zangu hivo tucheke wote tuu ila mna tabasamu zurii. .... kama la huyu kaka kwenye picha heheheh.

View attachment 403772

Wakedhije wa kaka.
Alafu huyu atakuwa wa ugweno pale mriti maeneo ya kifula[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Church sadaka ni makweme.
Nilikua nazitafuna kweme kama mbili hivi nikiwa naelekea church, zilozobaki nakabidhi madhabahuni.

Hahahahahahahhahaahha hehehehehehehhee yaani wewe umenifanya nicheke huku nagumia maana niko na watu hapa kwenye mazungumzo yasiyoisha ndo nikaona niingie JF walau nichangamshe macho sasa wewe utanifanya nicheke kwanguvu watu wote wanigeukie wakidhani nawacheka na vikinizidia naamka kwenda kuchekea nje hahahahahahahahahahaaaa.

Yaani nimevuta taswira uko na kifuko sijui kikapu cha kweme halafu njiani unasimama unazibanjua kweme mbili na kuzitafuna kisha uendelee na safari ya kanisani looh. Halafu wakati wa mnada sasa utasikia......
Mtaa wa lomwe nipeni bei mkuu mmoja atasema vikuu viwili hapo ndo mwisho haipandi tena hehehehe.

Kumbe nawe n mwathuu, u mwathuu wahi?
 
Alafu huyu atakuwa wa ugweno pale mriti maeneo ya kifula[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Hahahahaha wenyewe wanasemaga nthithi thithi wadhadhi wao heheheh
 
Hahahahahahahhahaahha hehehehehehehhee yaani wewe umenifanya nicheke huku nagumia maana niko na watu hapa kwenye mazungumzo yasiyoisha ndo nikaona niingie JF walau nichangamshe macho sasa wewe utanifanya nicheke kwanguvu watu wote wanigeukie wakidhani nawacheka na vikinizidia naamka kwenda kuchekea nje hahahahahahahahahahaaaa.

Yaani nimevuta taswira uko na kifuko sijui kikapu cha kweme halafu njiani unasimama unazibanjua kweme mbili na kuzitafuna kisha uendelee na safari ya kanisani looh. Halafu wakati wa mnada sasa utasikia......
Mtaa wa lomwe nipeni bei mkuu mmoja atasema vikuu viwili hapo ndo mwisho haipandi tena hehehehe.

Kumbe nawe n mwathuu, u mwathuu wahi?
Mamaaa kumbe ww mpare unajua usangi
 
Mamaaa kumbe ww mpare unajua usangi

Haiyee imi thi mwathuu ila namanya chathuu kidori. Kasinde ni mnyamwezi na wapare ni watani zake.

Uthangi napajua nlifika miaka hiyoo shule ya Shighatini na Lomwe.
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ....hapo akirudi nyumbani anakiunga na kumpa mama aendelee kukitumia
 
Hahahahahahahhahaahha hehehehehehehhee yaani wewe umenifanya nicheke huku nagumia maana niko na watu hapa kwenye mazungumzo yasiyoisha ndo nikaona niingie JF walau nichangamshe macho sasa wewe utanifanya nicheke kwanguvu watu wote wanigeukie wakidhani nawacheka na vikinizidia naamka kwenda kuchekea nje hahahahahahahahahahaaaa.

Yaani nimevuta taswira uko na kifuko sijui kikapu cha kweme halafu njiani unasimama unazibanjua kweme mbili na kuzitafuna kisha uendelee na safari ya kanisani looh. Halafu wakati wa mnada sasa utasikia......
Mtaa wa lomwe nipeni bei mkuu mmoja atasema vikuu viwili hapo ndo mwisho haipandi tena hehehehe.

Kumbe nawe n mwathuu, u mwathuu wahi?
[emoji51] [emoji51] masumbeni
 
Haiyee imi thi mwathuu ila namanya chathuu kidori. Kasinde ni mnyamwezi na wapare ni watani zake.

Uthangi napajua nlifika miaka hiyoo shule ya Shighatini na Lomwe.
Lomwe kwa mwalimu Kangero
 
Bajeti ni.muhimu ila hii ni kiboko.....;
Mpare mmoja alitumbukia kwenye kisima cha maji, akapiga kelele mkewe akaja kumsaidia alikuja na kamba mpya. Mke alimrushia mumewe ile kamba mpya ili aishike na amvute kutoka kisimani. .......

KILICHOTOKEA.......

MUME: Wedhorie shilingi ijo?
MKE: Nedhorie kikuu kwa Juma Myoya
MUME: Eehiiyeee .....!! Hundua. ..!! Eza kwa Walii vetaghija mia thano. .... tonga fiafia nnefwaa......

Hahahahahhaaa mpare ni mwisho wa reli Kigoma karibu looh!! Si kwa bajeti hii hehehehehee
cc: mshana jr
 
Back
Top Bottom