Wapashiwa jamii ambayo inakuwa kwa kasi sana. Na Dunia ina wapromote sana hawa watu

Wapashiwa jamii ambayo inakuwa kwa kasi sana. Na Dunia ina wapromote sana hawa watu

Sodoku Myebusi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2016
Posts
1,319
Reaction score
3,004
Wapashiwa ni kabila au jamii ambayo kwa sasa imekua sana. Miaka ya nyuma ilikuwa ni uchafu na laana kuwa Mpashiwa. Kwa sasa unakuta wanasiasa, wanamichezo, waigizaji, wanadini, wanamuziki, watu baki ni wapashiwa.

Sifa za Wapashiwa.
1. Hawana msimamo. Yaani anaweza kuwa aliumbwa mwanaume ila akabadilika tabia na kubeba za kike akaanza kupashiwa moto.

2. Ni wanafiq sana. Anaweza akawa anacheka nawe kumbe anakuchukia na anakupangia mambo mabaya sana.

3. Ni wabinafsi hujiangalia wao tu wanafaidika vipi bila kujali wengine.

4. Wanatamaa sana na katika hilo wapo tayari kufanya lolote wapate wanachotamani. Wanaweza geuzwa wanaweza lambishwa nini na nini, wanaweza tumikishwa wanaweza tumwa kufanya kila uovu wakafanya ili wapate mahitaji yao.

5. Ni wavivu hawataki kazi au kazi ngumu. Hawana subra. Hivyo wanaweza pitishwa short cut yoyote wafikie mahitaji yao.

6. Si waaminifu. Usimwamini Mpashiwa kwa lolote lile. Hata siku moja. Na usije ukamwachia lolote lile ukaamini litakuwa salama. Hawana hata moyo wa kutunza siri

7. Wanashoboka sana. Wanaweza shobokea mwenye pesa, uwezo au cheo. Wanaweza shobokea mwanaume rijali ilhali wao ni Wapashiwa. Hawataki kuwa rijali wanataka kupashiwa. Ila wana chuki sana na Wayebusi. Wanaona Wayebusi ni kikwazo cha ustawi wao.

8. ******* nyaji sana hiyo ni moja ya sifa yao kuu.

9. Machawa, marioo, wanapenda kulelewa na sifa za kijinga ambazo hawana. Si ajabu mpashiwa kujisifu yeye handsome au ukamwona anacheza kama mwanamke au anaimba kama mwanamke. Wana mipasho na ndo maana wanapashiwa pia

10. Wamejaaa na maneno mengi, matusi na woga. Wanaweza kukutukana siku nzima ila nguvu hawana.



Dunia inaonekana kuwakubali Wapashiwa na kutaka haki zao ziheshimiwe.
 
Doro magari, Mwijaku, Lukas Mwanshambwa, Mwandambo nao ni wapaishiwa, ama sivyo?
 
Back
Top Bottom