Wape neno dereva na utingo wake

Wape neno dereva na utingo wake

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
1629183016078.jpeg


Hawa jamaa siujui ni ujinga, ujasiri au kutegemea bahati kwa kuweka maisha yao rehani.

Wape neno!
 
Kufanya kazi kwa mazoeaa! Kushindwa usikute kakorofishana na mkewe+anadaiwa kodi ya nyumba/chumba+Ada ya shule+fain Barbara +madeni na-sihajabu yuko njiani wiki mzimaa na mambo ayaelewiiii, yaaan apo liwalo na liwee
 
Huwezi kuelewa kama hujawahi kufanya hyo kaz Yan hapo usingiz unakuja vizuri alaf kwenye gar huwa Kuna unga dagaa, mkaa na jiko na sufuria mbili ikifika mida flan wanawasha Moto wanasonga ugali wanarudi kulala chini ya chassis
 
Back
Top Bottom