Wapemba Mungu anatuona, nakataliwa kuoa kisa nimekulia Bara

Wapemba Mungu anatuona, nakataliwa kuoa kisa nimekulia Bara

wanajukwaa salamu kwenu
Mimi ni kijana wa kipemba nimependana na kijana mwenzangu binti wa kipemba nimeenda kwao nimemposa ila leo nimepata majibu kuwa nimekataliwa kwa sababu sijakulia pemba. Kibaya zaidi binti kaapa kuwa asipoolewa na mimi basi kifo ndio kheri yake na mda si mrefu alikuja home kwetu na amenambia akisikia nimeoa basi atahakikisha siishi kwa amani maisha yangu yote...
Binti nampenda na yeye ananipenda zaidi ya sana na hata sijui lakufanya tafadhali nishaurini
Nenda kwa kadhi, atawaozesha, hizo ndio kazi za kadhi, wewe muislamu wa vipi usiyejua kama mzazi hana sababu za kisheria, kumuozesha bint yake,mnakwenda kwa kadhi na mzazi ataitwa atoe sababu,za kukataa kukuozesha,huwenda ikawa zipo sababu za kisheria,huyo babake anazificha labda wewe ni baba mmoja na huyo unayetaka kumuoa,si unajuwa wazee walipokuwa vijana,walikuwa na wao pia wanakuwa kijogoo cha mtaa.
 
Nilijua ni mim tu peke yangu yalishawahi nitokea mimi hayo mkuu nikaona nistop kwanza nijipange upyaaa nikatafute kisu kimoja cha maana kuliko mtoto wao walio ninyimaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi nilishatafuta binti mwingine huyu binti yao alipogundua akamfata huyo mchumba wangu mpya akampa vitisho lastly binti mpya akavunja relation na 50000 yangu ya barua wakairudisha
 
Mtajijua wenyewe kwa kweli siwapendi nyie watu kabisa kwa sababu ya ubaguzi wenu huku mnajitia waislamu safi,sasa baada ya kuwabagua watu wa bara sasa mmeanza kubaguana wenyewe hakika Mwenyezi Mungu awalaani.
Mumby na wewe ni muhanga nin wa hili tukio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shaitwan alituchezea mkuu tulifanya lakini tumetubia na kilichomchanganya bint zaidi ni kwamba mimi ndie niliefungua ukurasa wake na isitoshe huwa namkojoza basi binti nae haelewi lolote na ameapa akisikia nimeoa basi nijue huyo mke hatakaa
Sasa kimemchanganya nn na wakati radha nyingine hazijui
 
Inshort Wazanzibari ni wapumbav sana... (wapemba + waunguja) Wanajiona wao ndo wapo perfect, wana malezi mazuri na wameshika dini, ila sisi tuliokulia Bara tunaonekana makafiri, malaya, hatuna malezi na maadili. Wao wenyewe wanabaguana pia... Wapemba Vs. Waunguja. Wapemba wana matatizo sn
 
Na uchawi juuu, kila saa kuchoma udi. Kuna duka la mpemba nilinunua makate nikashindwa kula kisa hayo mause.nge wanayochoma na majini yao
 
Sijawahi kukumbwa na adha hiyo binafsi lakini kuna watu kadhaa nawajua waliokumbwa na visa vya kiubaguzi kutoka kwa hao watu ambao wenyewe hujiona ni waarabu zaidi hata jitu liwe jeusi kama mkaa
MKUU NAHITAJI USHAURI WAKO
 
wanajukwaa salamu kwenu
Mimi ni kijana wa kipemba nimependana na kijana mwenzangu binti wa kipemba nimeenda kwao nimemposa ila leo nimepata majibu kuwa nimekataliwa kwa sababu sijakulia pemba. Kibaya zaidi binti kaapa kuwa asipoolewa na mimi basi kifo ndio kheri yake na mda si mrefu alikuja home kwetu na amenambia akisikia nimeoa basi atahakikisha siishi kwa amani maisha yangu yote...
Binti nampenda na yeye ananipenda zaidi ya sana na hata sijui lakufanya tafadhali nishaurini
Nenda ukashtaki kwa mjanja wao MKAPA.
 
Back
Top Bottom