Wapemba Mungu anatuona, nakataliwa kuoa kisa nimekulia Bara

Wapemba Mungu anatuona, nakataliwa kuoa kisa nimekulia Bara

Inshort Wazanzibari ni wapumbav sana... (wapemba + waunguja) Wanajiona wao ndo wapo perfect, wana malezi mazuri na wameshika dini, ila sisi tuliokulia Bara tunaonekana makafiri, malaya, hatuna malezi na maadili. Wao wenyewe wanabaguana pia... Wapemba Vs. Waunguja. Wapemba wana matatizo sn
Upumbav wao ni mkubwa sana yani hasa ukikaa na mpenda unakuta wanaona wabara hawana akili wao wako perfect kumbe ndo vilaza wa mwisho aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanajukwaa salamu kwenu
Mimi ni kijana wa kipemba nimependana na kijana mwenzangu binti wa kipemba nimeenda kwao nimemposa ila leo nimepata majibu kuwa nimekataliwa kwa sababu sijakulia pemba. Kibaya zaidi binti kaapa kuwa asipoolewa na mimi basi kifo ndio kheri yake na mda si mrefu alikuja home kwetu na amenambia akisikia nimeoa basi atahakikisha siishi kwa amani maisha yangu yote...
Binti nampenda na yeye ananipenda zaidi ya sana na hata sijui lakufanya tafadhali nishaurini

Kwamba asipoolewa na wewe kifo ndo kheri yake, alafu ukishaoa mwanamke mwingine mtu huyo huyo atahakikisha huishi kwa amani!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toroka nae njoo naye bara baada ya hapo watawafungisha ndoa

au labda kwenye mahari yao hukufika malengo wakakubania

hata hivyo toroka nae tu
Mkuu USICHEZE NA WAPEMBA,,,,kama kaambiwa HAOI,,bora amuache tu,,kutotoka na Binti ni BAD idea ,,,unaweza AKATOROKA NAE ,,AKIFIKA BARA ,,,JEGEJE kaliacha PEMBA,,,utafanyaje?hao JAMAA KWA KUSOMA "NUNI " ni nuksi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu USICHEZE NA WAPEMBA,,,,kama kaambiwa HAOI,,bora amuache tu,,kutotoka na Binti ni BAD idea ,,,unaweza AKATOROKA NAE ,,AKIFIKA BARA ,,,JEGEJE kaliacha PEMBA,,,utafanyaje?hao JAMAA KWA KUSOMA "NUNI " ni nuksi

Sent using Jamii Forums mobile app
Anacheza na wapemba mimi mpaka niliikimbia Tanzania, wapumbavu wana ushirikina wa kijinga sana.
 
Samahani mkuu wewe unatokea Mkoani,Chakechake au Wete ?maana maeneo ya Chokocho,Kengeja na Konde ndo wana Tabia hizo
 
wengi mtawalaumu sana Wapemba hapa kwa maneno ya kuambiwa tu, huyo kijana nina hakika hakufuata taratibu inaonekana amekuwa akimla binti wa watu kwa muda mrefu sasa na anaenda kuomba wazazi kumhalalishia sasa, kwa wapemba hilo ni tusi kubwa sana hawawezi kukuozesha binti yao katika baadhi ya masuala wapo serious sana sababu, Namshauri kijana wetu afate utaratibu, wapemba wana kawaida ya kuchunguza mume na familia yake kabla hawajakupa binti yao, inawezekana kijana wetu pia ana mapungufu (ulevi uzinzi) na wazazi wameshashituka. Unajua kule kila ukikaribia uchaguzi wanapelekwa Jeshi kutoka Bara na wanawapiga na kuwauwa sana, kuwanyanyasa sana kwa misingi ya kidini na kuona wanapambana la Alshabab labda, chuki ndio zimeanza huko na zinaendelea, siku ukienda ndio utajua jamaa wanaishi kwa nguvu za Mungu huku diaspora waki play important part, hakuna serikali (ya Zanzibar ama Tanganyika) inayowajali. Mnaoita nyinyi ubaguzi umeanza mbali sana kwa watu wa Bara.
 
wanajukwaa salamu kwenu
Mimi ni kijana wa kipemba nimependana na kijana mwenzangu binti wa kipemba nimeenda kwao nimemposa ila leo nimepata majibu kuwa nimekataliwa kwa sababu sijakulia pemba. Kibaya zaidi binti kaapa kuwa asipoolewa na mimi basi kifo ndio kheri yake na mda si mrefu alikuja home kwetu na amenambia akisikia nimeoa basi atahakikisha siishi kwa amani maisha yangu yote...
Binti nampenda na yeye ananipenda zaidi ya sana na hata sijui lakufanya tafadhali nishaurini
Wapemba wachafu sana cwezi kumuoa mpemba, nenda Tanga pale maeneo ya chumbageni kuna sehem panaitwa mtupie ni mtaa wa Wapemba, pananuka shombo kwa kwenda mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yakhee..!!asa sie wapemba
twasema shehe wangu
huoi ntonto wetu ng'oo,
Weye wakulia bara yakhe,
Hatukutaki uku zenji,
kaoe hao kina
Amber rutty,
 
wanajukwaa salamu kwenu
Mimi ni kijana wa kipemba nimependana na kijana mwenzangu binti wa kipemba nimeenda kwao nimemposa ila leo nimepata majibu kuwa nimekataliwa kwa sababu sijakulia pemba. Kibaya zaidi binti kaapa kuwa asipoolewa na mimi basi kifo ndio kheri yake na mda si mrefu alikuja home kwetu na amenambia akisikia nimeoa basi atahakikisha siishi kwa amani maisha yangu yote...
Binti nampenda na yeye ananipenda zaidi ya sana na hata sijui lakufanya tafadhali nishaurini
Aiseeeh hii kali. Pole sana mkuu.

Ila ukiweza, fanya umafya tu....as long as wewe na binti mnapendana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pole yakhe,,,,sasa ammi huko pemba c ndo naskia kuna dini sana,,imekuaje tena sasa haya mambo,,!!!
 
Back
Top Bottom