min92 umewahi kuishi Pemba? mi nimewahi kushi kule Zaidi ya miaka 8, nawajua vizuri Zaidi nadhani. Wapo mmoja mmoja wenye tabia hizo, lakini usisahau kuwa wale wame colonised na waarabu, Oman tafauti na huku Bara. wana misimamo yao na views zao. ukijaribu kwenda tofauti na maono yao ndio yatakufika hayo uliyoyasema na utaanza Judgments kama hizo. Hata sisi tulivyohamia kule kutoka Bara kwa miezi ya mwanzo yalitukuta hayo, wanaishi kwa misingi ya dini yao inavyotaka sasa wewe ukienda against ndio wanakutenga, Nimewahi kutembelea German na nikazuiwa kuingia duka flani kubwa sababu mimi ni Black. niliambiwa "
nein schwarzes" nikarudi nilikotoka haraka, na tokea hapo sijawahi hata siku moja kuwa jurge Germans kama ni racist, tabia mbaya haiakisi na jamii nzima. Nimeishi nawao kwao na hata huku Bara ni watu wazuri tu ukilinganisha na wengi mradi uchunge mila zao tu