Wapemba Ni watu poa sana

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Hawa majamaa Wana roho nzuri Sana kwanza katika biashara wanauza bidhaa zao kwa Bei nafuu kuliko Wafanyabiashara wengine
Kingine wapemba Ni wakarimu Sana wanapenda ufanikiwe Wana ushauri mzuri Sana na hawana tamaa Wala roho mbaya
Kingine wanaishi maisha simple Sana wengi wao Ni watu wa dini wachaMungu hawanywi pombe.
Ishi nao vizuri utafaidika Sana usijaribu kumwibia mpemba kwani yatakukuta.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]halafu ni wazee wa sufuli...
 
Nikweli mkuu,kuna mmoja alinisaidia sana kipindi cha nyuma,Anakukopesha hata mwaka mzima hana habari,hakuulizi,yeye anasema usipomlipa duniani,utamlipa akhera.
 
Biashara gani unayofanya na wapemba mkuu?
 
Ni kwei nina mshkaji wangu mpemba niliwahi muazima elfu 55 akanip tena baada ya kuisaka kwelikweli sasa muda wa kulipa kafika nkamwambia anipe sku mbili zaidi maana mipango si matumizi akauliza mjomba kan una shda gan nkamwambia mwanangu anaumwa akanipa pole mingi kesho yake akaja kumsbahi dogo akaniachia na elfu 10 huku akiniomba radh eti japo kidogo lakn ndo alichonaco kw wakat huo kisha akanambia ile pesa ukipata hudumia tu familia maana hakunikopesha alinipa tu.......
 
Ni watu poa kweli hawa jamaa sema mambo ya sifuri yanawaharibia sana😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…