ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Hawa majamaa Wana roho nzuri Sana kwanza katika biashara wanauza bidhaa zao kwa Bei nafuu kuliko Wafanyabiashara wengine
Kingine wapemba Ni wakarimu Sana wanapenda ufanikiwe Wana ushauri mzuri Sana na hawana tamaa Wala roho mbaya
Kingine wanaishi maisha simple Sana wengi wao Ni watu wa dini wachaMungu hawanywi pombe.
Ishi nao vizuri utafaidika Sana usijaribu kumwibia mpemba kwani yatakukuta.