Sasa Wewe jifanye unajua sana ' Malavidavi ' na unataka kuonyesha Mbwenbwe zako Kitandani Ufe.
Kwanza kwa Maisha haya Magumu nyie Mabwege mnaopenda sijui Kulamba Ice Cream na Kula Ndizi mkiwa ' Mnabanjuana ' mnaupata wapi huo muda?
Pateni Nakala ya Gazeti la Nipashe la Leo ili mjue mengi zaidi ila kwa Sisi Wazee wa ' Chap Chap Kubaioloji ' na Kusepa bila ya kuwa na hizi Mbwenbwe zenu huu UKIMWI utatusikia tu katika Bomba na hatutoupata ng'o.