Wapenda maua mje basi na maua yenu

Wapenda maua mje basi na maua yenu

kwanini wasichana mnapenda sana maua je nyie ni nyuki, hamjui nyie ndo maua hapa duniani ?
 
kwanini wasichana mnapenda sana maua je nyie ni nyuki, hamjui nyie ndo maua hapa duniani ?
Ni kweli siye ni nyuki na ndiyo maana hamuachi kulamba asali mkuu😋
 

Attachments

  • Screenshot_20241206-203840_1.jpg
    Screenshot_20241206-203840_1.jpg
    313 KB · Views: 2
Hata mimi nina mawazo mengi sababu niko lonely so huyu ndege huyu anasadifu ninayoyapitia.
At least ungeweka hata hii inayomsifu mama kwa kulinda wanae wasiloe
 

Attachments

  • Screenshot_20241206-080618_1.jpg
    Screenshot_20241206-080618_1.jpg
    244.1 KB · Views: 2
Back
Top Bottom