πππ, Litavaliwa usiku na mchanaYa la wachaga hili.
Kwa hakika.πππ, Litavaliwa usiku na mchana
Thank you Be calm Be blessed ππΊπ₯π·πͺ·ππππ
π€£π€£π€©Mimi ni mpenda maua CRDB Bank -Lumumba ni 'Maua' na Maua!
P
asante kwa hili ua zuri, kwaiyo nimejua nikitaka kuugusa Moyo wako nakutafutia ua zuri...Ni kweli siye ni nyuki na ndiyo maana hamuachi kulamba asali mkuuπ
Black SniperPaper flowersView attachment 3170883
Asante sana bibie.For you π
Pia nina roho nzuri kama huyu ndegeπ .Huyo ndege wako kwa avatar nimempenda,kafanana na sokwe
Hata mimi nina mawazo mengi sababu niko lonely so huyu ndege huyu anasadifu ninayoyapitia.π³Mbona anaonekana anamawazo mengi π€