Wapenda maua mje basi na maua yenu

Wapenda maua mje basi na maua yenu

Cc: ephen_
Hivi upo mpenzi? 😔
 

Attachments

  • Screenshot_20241203-175221_1.jpg
    Screenshot_20241203-175221_1.jpg
    285.6 KB · Views: 2
Nashukuru kwa zawadi hii ya ua Mjukuu

Imenikumbusha mwaka 47, wakati wa uchumba wetu na Bibi yenu niliwahi kumnunulia zawadi ya ua la namna hiyo kutoka Nairobi

Amelitunza hilo ua hadi sasa, kuna wakati mkinuniana ndani basi unaenda kulichukua kabatini na kumuwekea kitandani kama ishara ya msamaha na upendo

Siku hizi hamtaki maua tena, mnasema pesa kwanza maua wapewe nyuki 🥲🙌
 
Back
Top Bottom