Wapenda maua mje basi na maua yenu

Wapenda maua mje basi na maua yenu

Nashukuru kwa zawadi hii ya ua Mjukuu

Imenikumbusha mwaka 47, wakati wa uchumba wetu na Bibi yenu niliwahi kumnunulia zawadi ya ua la namna hiyo kutoka Nairobi

Amelitunza hilo ua hadi sasa, kuna wakati mkinuniana ndani basi unaenda kulichukua kabatini na kumuwekea kitandani kama ishara ya msamaha na upendo

Siku hizi hamtaki maua tena, mnasema pesa kwanza maua wapewe nyuki 🥲🙌
Hakika pesa kwanza Babu🤣🤣🤣
 
Kabisa wengi wapo hivyo ila najishangaa ni mimi sipo hivyo ila napenda maua mno ,nikikaa sehemu imezungukwa na maua na miti midogo ya kivuli na maliza kreti mbili za bia🤣🤣🤣
Maeneo nipendayo, yaani akili inapata utulivu saaafi kabisa.
 

Attachments

  • 6010c33a47e748c6779dc333aa9fcc4e.jpg
    6010c33a47e748c6779dc333aa9fcc4e.jpg
    71 KB · Views: 2
Ninao wakutosha tu, ukiwa tayari uje Kijijini huku ufanye kama umekuja kusalimia

Nitakutambulisha mmoja baada ya mwingine

Ukiwa umeniletea zawadi ya Kiko, basi huenda nikakupa punguzo la mahari 🤗
Nitakuongezea na bange 🌱🌱🌱, ili uchangamke zaidi 😋😋
 
Back
Top Bottom