Haujaona hata money flowers? π€£π€£Sijui hata moja hapoπ
Ua zuri Sana hili kupanda nyumbani angalau miche mitano kuzinguka nyumba
Woow,kisses dear...asanteeeπView attachment 3169675
I love love tulips jamaniiππ
Unavurugikaje kwa mfano wakati ndo Kwanza ubongo unajipanga vizuri!Hivi hamvurugiki ubongo?
Weeeeh! Kumbe ndio maanaπ€ͺKitaaluma inasemekana watu wanapenda maua wana roho nzuri na upendo wa dhatiπ€
Kabisa wengi wapo hivyo ila najishangaa ni mimi sipo hivyo ila napenda maua mno ,nikikaa sehemu imezungukwa na maua na miti midogo ya kivuli na maliza kreti mbili za biaπ€£π€£π€£Weeeeh! Kumbe ndio maanaπ€ͺ
Hili li Salam mpe mdogo wako yule Hope urassa kama unaniambia shikamoo niambie tuFeke p haujambo?
Halafu unakuta una selasini na kitu ila unataka salam kwanguπππHili li Salam mpe mdogo wako yule Hope urassa kama unaniambia shikamoo niambie tu
Naiomba hii shati mkuuπ€ͺπ
Nashukuru kwa zawadi hii ya ua Mjukuu
Hili shart ni fupi sana, sijui kama litakutosha ππNaiomba hii shati mkuuπ€ͺπ
πππ
Usijali ntalifanya crop top tumbo njeππHili shart ni fupi sana, sijui kama litakutosha ππ