Wapenda maua mje basi na maua yenu

Hakika pesa kwanza Babu🀣🀣🀣
 
Kabisa wengi wapo hivyo ila najishangaa ni mimi sipo hivyo ila napenda maua mno ,nikikaa sehemu imezungukwa na maua na miti midogo ya kivuli na maliza kreti mbili za bia🀣🀣🀣
Maeneo nipendayo, yaani akili inapata utulivu saaafi kabisa.
 
Babu naomba Mjukuu wako wa kike mmoja, 🀭🀭
Ninao wakutosha tu, ukiwa tayari uje Kijijini huku ufanye kama umekuja kusalimia

Nitakutambulisha mmoja baada ya mwingine

Ukiwa umeniletea zawadi ya Kiko, basi huenda nikakupa punguzo la mahari πŸ€—
 
Ninao wakutosha tu, ukiwa tayari uje Kijijini huku ufanye kama umekuja kusalimia

Nitakutambulisha mmoja baada ya mwingine

Ukiwa umeniletea zawadi ya Kiko, basi huenda nikakupa punguzo la mahari πŸ€—
Nitakuongezea na bange 🌱🌱🌱, ili uchangamke zaidi πŸ˜‹πŸ˜‹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…