Wapendanao kuchokana, nini sababu hasa?

Wapendanao kuchokana, nini sababu hasa?

Haya mambo ni kawaida hasa kipindi hichi ambacho shetani BADO yuko hai[emoji16][emoji16] tuombe tu siku awake up dedooo hapo tutaenjoy
 
Wapendanao hawachokani sababu mapenzi yao ya liunganishwa na UPENDO, mutual feelings, unconditional love. Siku hizi vice versa tunatamaniana na kuangalia una nini upendo hamna.
Maisha haya hakuna unconditional love as a man unapendwa kwa thamani yako unayoleta kwenye meza ama status yako period
 
Kwa ufupi,

Nini kinasababisha kumchoka yule uliempenda? Ulimpenda sana kijana fulani, mkawa wapenzi, kadri unavyozidi kuwa naye karibu ndivyo unavyomchoka, mambo yanabadilika kabisa tofauti na mwanzo!

Unampata bi dada mzuri wa kila kitu, unajisemea moyoni huyu ndiye! Mnaanza mahusiano, mapenzi mubashara, lakini mwisho wa siku unamwona si kitu, hakufai, na kuanza kumtafutia sababu za kummwaga!

Uko kwenye ndoa, una mme/mke wako, unathubutuje kutamka kwamba huyo si chaguo lako? Una wazimu?

Nini kinachopelekea kujitokeza kwa hali hiyo? Ulishawahi kuacha/kuachwa bila sababu?

Nini maoni yako?
Uliempenda utamchoka ila uliemhitajia katika Maisha yako hachokeki
 
Tujipoze na kibao hiki cha kijana alievunjwa moyo⬇️
 
Kwa ufupi,

Nini kinasababisha kumchoka yule uliempenda? Ulimpenda sana kijana fulani, mkawa wapenzi, kadri unavyozidi kuwa naye karibu ndivyo unavyomchoka, mambo yanabadilika kabisa tofauti na mwanzo!

Unampata bi dada mzuri wa kila kitu, unajisemea moyoni huyu ndiye! Mnaanza mahusiano, mapenzi mubashara, lakini mwisho wa siku unamwona si kitu, hakufai, na kuanza kumtafutia sababu za kummwaga!

Uko kwenye ndoa, una mme/mke wako, unathubutuje kutamka kwamba huyo si chaguo lako? Una wazimu?

Nini kinachopelekea kujitokeza kwa hali hiyo? Ulishawahi kuacha/kuachwa bila sababu?

Nini maoni yako?
True love.. Never Dies
 
Uzuri wa sura na umbo ni siku 90 tu baaasi. Baada ya hapo utaratibu wa mume anaheshimiwa na mkewe halafu mke anasikilizwa na mumewe unashika hatamu , kinyume na hapo ugomvi haukauki ndoani.

Ndoa sio jela ndoa ni kuridhiana
ni kweli mkuu mienzi mitatu siku 90 ndio zinaamuaga mapenzi yaendelee au yasiendelee maana hapo tayari mmeshajijua. in short nina uzoefu na hilo. muda haudanganyi.
 
Ukweli mchungu, binadamu hajaumbwa kukaa, kuishi na mtu fulani mfano kulala kitanda kimoja kwa muda usiojulikana. Ni sisi wanadamu tumejipangia huo utaratibu na duniani kote ni vilio na kusaga meno huo utaratibu umeshindikana. Ndoa nyingi na mahusiano mengi watu wako pamoja Kwa kuvumiliana tu aidha kuifurahisha jamii au kufata maelekezo ya dini zao. Binadamu by nature hajaumbwa aishi na mtu mmoja hadi kifo kiwatenganishe. Ni ukweli ambao hausemwi popote rasmi, na watakuja watu kunibeza na kunitukana hapa ila ndio uhalisia. Wengi wanakuja kuujua huu ukweli wakishafikisha miaka 65,70 na kuendelea na kutamani wangeujua mapema. Mpaka Sasa 98% ya watu duniani wanaishi maisha ya kufuata maelekezo wasiyoyajua na kumjua anayewaelekeza ndo maana watu wengi huishi karibia maisha yao yote bila ya kuwa na peace of mind.
Unachosema ni kweli ila kimekosa utashi wa kibinadamu. Mwanadamu ndie mnyama wa tabaka la kwanza juu ya wanyama wote na amewekwa juu kutawala rasilimali zote.

Ili aweze kufanya hilo anatakiwa kujiwekea mfumo maalumu wa kuishi tofauti na wanyama wengine ili aweze kuwa mtawala wa Dunia na vilivyomo.

Sasa tukirejea katika mada. Swala la Ndoa ni swala la utashi wa akili ya binadamu. Nadhani umetazama upande m'moja tu wakati ukiwa unatafakari hayo uliyosema ila unasahau kuwa kuna upande mwingine.

Umeshawahi jiuliza matokeo ya watu kuishi bila ndoa?!

Nadhani hapa ndipo ulipopungukiwa ufahamu au elimu. Kuna madhara makubwa zaidi ya haya uliyosema endapo ikatokea watu wakaishi bila Ndoa au nje ya ndoa. Dunia imefika hapa sababu ya mchango wa Ndoa.

Tazama miaka hii Ndoa haiheshimiwi na ndio maana hakuna linalokwenda ndani yake. Ndoa za sasa watu wanaziingia huku wakiwa wamekwisha vunja miiko yake kibao. Wategemea zitafanikiwa?!

Nitakupa tu masharti ya msingi ya ndoa ambayo watu huwa wanayapuuza na baadae huwaletea shida na changamoto.

1. Ndoa inataka vijana na mabinti waiingie wakiwa katika hali ya upya, yaani hawajawahi kufanya mahusiano ya kabla na mtu yoyote yule ili kile watachokianzisha kiwe chao wawili tu. Je, nani anaingia kwenye ndoa sasa hivi na hiyo sifa?!

2. Ndoa inataka mwanaume ampende mkewe na mwanamke amtii na kumheshimu mkewe. Je hilo linafanyika?!

3. Ndoa inataka wawili waliojitoa kila m'moja kufa na kupona kwa mwenzake je, ndicho kinachotokea?!

4. Ndoa ina elimu yake na inataka watu kutoacha kujifunza hadi uzeeni maana kila hatua ya umri fulani ina funzo lake. Je ni kweli wana ndoa wa sasa wanajifunza lolote au kupenda kujifunza maswala ya Ndoa?

5. Maagizo na masharti ya ndoa yapo wazi sana kwenye vitabu vya imani. Ni watu tu wamechagua njia za tofauti za kuishi kuridhisha nafsi zao. Ukitaka kujua ni ujana tu tafuta watu wa umri wa miaka 50+ waulize utaona majuto yao na namna wangetamani kurudi nyuma na kubadili mienendo yao.

Kwa kuhitimisha, Ndoa ni kitu kizuri sana na kinamatokeo mazuri kikifiata misingi. Si kweli kwamba ndani ya ndoa mambo ni magumu kuliko nje ya Ndoa, hapana. Stress zipo za aina nyingi na hakuna sehemu utaenda ukose stress. Familia zinastress, kazini stress, mtaani stress etc. So Ndoa pia ina stress zake ila zinasolvika kirahisi sana kwa maridhiano kama wakikutana watu wawili waliochagua kukaa na kuishi sehemu moja bila kuchukuliana poa.
 
turudi kwenye misingi ya zamani mwanaume aoe wanawake atakao. Ni rahisi kumudu wake wa tatu kuliko mmoja

maana itatengeneza wivu na heshima
wake watakua na wivu na pia wataheshimu mume wao
Mke m'moja mwenye adabu na utii na kujiheshimu anatosha. Yanini kudeal na sura tatu toafuti.
 
Mkuu Samcezar, michango yako imeshiba!

endelea kutoa hayo madini ili kuwasaidia vijana wa sasa.

asante kwa mchango wako wako wa thamani sana!!
 
Sababu zipo
1. Mazoea ya kupitiliza ( wengi uwapumbaza na kucha kutenda yale yalio wafanya mwanzo waonane bora iwe ngono, chakula, ukaribu, mawasiliano nk. Mfano umezoea kunyonywa matiti au uume alafu mwenzako saiz anaona kinyaa ni tatizo.
2. Kumlinganisha uliyenaye. Hakuna sumu kma kuwaza kuwa na kitu usichokuwa nacho, ukiwa umempenda mwanamke mwenye makalio madogo alafu ukataka uliyenaye awe na makalio makubwa / kipato cha mchicha sasa unataka biriani.
3. Kuishi kwa mategemeo makubwa. Kumchukulia binadamu mwenzio yye ni malaika, anapokukosea huwa unakuumiza kwa kishindo, ile thamani utoka mara moja.
4. Kutojua unachokifanya. Ukiwa kwenye mahusiano alafu hujui umefata nini nalo ni tatizo, au unafanya mapungufu yako na hujali kama wewe ni mtu wa mtu ni tatizo, umalaya ama kudanga ni hulka ila sio sababu ya kumchoka uliye naye.
5. Kuziweke sehemu za siri dhamana kwenye mapenzi. Tutambue ngono unaweza ipata kwa mtu yeyote, sasa unapokosa kingine bora cha kufanywa upende au upendwe ni janga.
6. Mawasiliano mazuri wewe na mwenzako. Kuna watu wanaishi kwa kusikia sana ya nje kuliko ya mwenza wake, uamuzi siyo utoke kwa mwenziye bal kwa ndugu, rafiki au yeye.
7. Kuwaza mabaya na hatima ya mahusiano. Sasa hivi kila mahusiano unakuta wanawaza ipo siku tutaachana, sasa uliwazolo mjinga ndio linalokutokea.
8. Kuishi kwa nafasi moja katika maisha. Watu tunapaswa wapenzi wetu wawe pia masela wetu, ndugu zetu, washikaji wetu, washauri wetu, wachekeshaji wetu nk ila unakaa na mtu hana nafasi nyingine muhimu zaid ya mapenzi ni shida mtachokana tu.
9. Uoga wa maisha. Ebwana karne hii siyo wanaume siyo wanawake wanapenda mseleleko. Mtu ubinafsi kaweka mbele, hajiongezi, awazi kujenga kwa maslahi ya mwenzie, asaidia chochote ni shida.
10. Kutotambua uliyenaye. Kisaikolojia matatizo ya fedha yanafanya wapenzi kushikana na kupambana sana, ila wanapopata fedha,matatizo mengine uzaliwa, ni lazima mtambuane. Unapomjua mwenzio hakupi shida mengine utayapuuza tu.
#imarika
Mapenzi ili yaende lazima mengine uyaache yaende yaani uyapuuze ila ukitaka kila kitu kiwe sawa mtavurugana tu na thamani zitashuka tu. Ndio maana inashauriwa muwe na utamaduni wa kuzungumza mahusiano yenu na mstakabali wa maisha yenu.
#uhuru una majukumu#
 
Unachosema ni kweli ila kimekosa utashi wa kibinadamu. Mwanadamu ndie mnyama wa tabaka la kwanza juu ya wanyama wote na amewekwa juu kutawala rasilimali zote.

Ili aweze kufanya hilo anatakiwa kujiwekea mfumo maalumu wa kuishi tofauti na wanyama wengine ili aweze kuwa mtawala wa Dunia na vilivyomo.

Sasa tukirejea katika mada. Swala la Ndoa ni swala la utashi wa akili ya binadamu. Nadhani umetazama upande m'moja tu wakati ukiwa unatafakari hayo uliyosema ila unasahau kuwa kuna upande mwingine.

Umeshawahi jiuliza matokeo ya watu kuishi bila ndoa?!

Nadhani hapa ndipo ulipopungukiwa ufahamu au elimu. Kuna madhara makubwa zaidi ya haya uliyosema endapo ikatokea watu wakaishi bila Ndoa au nje ya ndoa. Dunia imefika hapa sababu ya mchango wa Ndoa.

Tazama miaka hii Ndoa haiheshimiwi na ndio maana hakuna linalokwenda ndani yake. Ndoa za sasa watu wanaziingia huku wakiwa wamekwisha vunja miiko yake kibao. Wategemea zitafanikiwa?!

Nitakupa tu masharti ya msingi ya ndoa ambayo watu huwa wanayapuuza na baadae huwaletea shida na changamoto.

1. Ndoa inataka vijana na mabinti waiingie wakiwa katika hali ya upya, yaani hawajawahi kufanya mahusiano ya kabla na mtu yoyote yule ili kile watachokianzisha kiwe chao wawili tu. Je, nani anaingia kwenye ndoa sasa hivi na hiyo sifa?!

2. Ndoa inataka mwanaume ampende mkewe na mwanamke amtii na kumheshimu mkewe. Je hilo linafanyika?!

3. Ndoa inataka wawili waliojitoa kila m'moja kufa na kupona kwa mwenzake je, ndicho kinachotokea?!

4. Ndoa ina elimu yake na inataka watu kutoacha kujifunza hadi uzeeni maana kila hatua ya umri fulani ina funzo lake. Je ni kweli wana ndoa wa sasa wanajifunza lolote au kupenda kujifunza maswala ya Ndoa?

5. Maagizo na masharti ya ndoa yapo wazi sana kwenye vitabu vya imani. Ni watu tu wamechagua njia za tofauti za kuishi kuridhisha nafsi zao. Ukitaka kujua ni ujana tu tafuta watu wa umri wa miaka 50+ waulize utaona majuto yao na namna wangetamani kurudi nyuma na kubadili mienendo yao.

Kwa kuhitimisha, Ndoa ni kitu kizuri sana na kinamatokeo mazuri kikifiata misingi. Si kweli kwamba ndani ya ndoa mambo ni magumu kuliko nje ya Ndoa, hapana. Stress zipo za aina nyingi na hakuna sehemu utaenda ukose stress. Familia zinastress, kazini stress, mtaani stress etc. So Ndoa pia ina stress zake ila zinasolvika kirahisi sana kwa maridhiano kama wakikutana watu wawili waliochagua kukaa na kuishi sehemu moja bila kuchukuliana poa.
Uko sahihi sana ila kwa watu waliochagua kuishi maisha ya kuji commit kwenye ndoa. Ila umewahi kujiuliza furaha yako ni nini?.., Kwa maelezo yako siwezi kukubadilisha msimamo ila nataka uondoe dhana kichwani mwako kwamba ambao hawajaoa wanakosa vitu fulani. Kila mtu ana namna na kujipa peace of mind. Dunia haijawahi kuwa static inazunguka, ndo maana kuna mabadiliko makubwa kila mara kwenye nyanja zote. Ila mwisho wa siku kila mtu achague namna ya kuishi apendayo, tusipangiane. Kila la heri kwenye ndoa yako.
 
Kwa ufupi,

Nini kinasababisha kumchoka yule uliempenda? Ulimpenda sana kijana fulani, mkawa wapenzi, kadri unavyozidi kuwa naye karibu ndivyo unavyomchoka, mambo yanabadilika kabisa tofauti na mwanzo!

Unampata bi dada mzuri wa kila kitu, unajisemea moyoni huyu ndiye! Mnaanza mahusiano, mapenzi mubashara, lakini mwisho wa siku unamwona si kitu, hakufai, na kuanza kumtafutia sababu za kummwaga!

Uko kwenye ndoa, una mme/mke wako, unathubutuje kutamka kwamba huyo si chaguo lako? Una wazimu?

Nini kinachopelekea kujitokeza kwa hali hiyo? Ulishawahi kuacha/kuachwa bila sababu?[emoji4][emoji4]

Nini maoni yako?
Siri iko hapa,

Kwenye mahusiano, ukiji ‘expose’ zaidi kwa mwenza wako ukidhani unajenga uaminifu unataka akujue vizuri nje ndani juq fika unamtengenezea mazingira akuzoee, akuchoke na akuone wa kawaida.

Lakini tujue kuwa kujificha na kuficha mambo yetu sana kwa wapenzi wetu kutapoteza imani yao kwetu, hii kitu ni lazima iwe ‘balanced’.
 
Back
Top Bottom