Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Mimi sijaoa lakini naheshimu maamuzi ya walio oa, kila mtu afanye roho inapenda
Kijana KATAA NDOA.
Emdelea kutafuta hela utanishukuru.
#YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sijaoa lakini naheshimu maamuzi ya walio oa, kila mtu afanye roho inapenda
Maisha haya hakuna unconditional love as a man unapendwa kwa thamani yako unayoleta kwenye meza ama status yako periodWapendanao hawachokani sababu mapenzi yao ya liunganishwa na UPENDO, mutual feelings, unconditional love. Siku hizi vice versa tunatamaniana na kuangalia una nini upendo hamna.
Yapo japo kwa % ndogo ila yapo.Maisha haya hakuna unconditional love as a man unapendwa kwa thamani yako unayoleta kwenye meza ama status yako period
Uliempenda utamchoka ila uliemhitajia katika Maisha yako hachokekiKwa ufupi,
Nini kinasababisha kumchoka yule uliempenda? Ulimpenda sana kijana fulani, mkawa wapenzi, kadri unavyozidi kuwa naye karibu ndivyo unavyomchoka, mambo yanabadilika kabisa tofauti na mwanzo!
Unampata bi dada mzuri wa kila kitu, unajisemea moyoni huyu ndiye! Mnaanza mahusiano, mapenzi mubashara, lakini mwisho wa siku unamwona si kitu, hakufai, na kuanza kumtafutia sababu za kummwaga!
Uko kwenye ndoa, una mme/mke wako, unathubutuje kutamka kwamba huyo si chaguo lako? Una wazimu?
Nini kinachopelekea kujitokeza kwa hali hiyo? Ulishawahi kuacha/kuachwa bila sababu?
Nini maoni yako?
Inauma saaaanaKutokukikuta ulichokitegemea kwake
True love.. Never DiesKwa ufupi,
Nini kinasababisha kumchoka yule uliempenda? Ulimpenda sana kijana fulani, mkawa wapenzi, kadri unavyozidi kuwa naye karibu ndivyo unavyomchoka, mambo yanabadilika kabisa tofauti na mwanzo!
Unampata bi dada mzuri wa kila kitu, unajisemea moyoni huyu ndiye! Mnaanza mahusiano, mapenzi mubashara, lakini mwisho wa siku unamwona si kitu, hakufai, na kuanza kumtafutia sababu za kummwaga!
Uko kwenye ndoa, una mme/mke wako, unathubutuje kutamka kwamba huyo si chaguo lako? Una wazimu?
Nini kinachopelekea kujitokeza kwa hali hiyo? Ulishawahi kuacha/kuachwa bila sababu?
Nini maoni yako?
ni kweli mkuu mienzi mitatu siku 90 ndio zinaamuaga mapenzi yaendelee au yasiendelee maana hapo tayari mmeshajijua. in short nina uzoefu na hilo. muda haudanganyi.Uzuri wa sura na umbo ni siku 90 tu baaasi. Baada ya hapo utaratibu wa mume anaheshimiwa na mkewe halafu mke anasikilizwa na mumewe unashika hatamu , kinyume na hapo ugomvi haukauki ndoani.
Ndoa sio jela ndoa ni kuridhiana
Unachosema ni kweli ila kimekosa utashi wa kibinadamu. Mwanadamu ndie mnyama wa tabaka la kwanza juu ya wanyama wote na amewekwa juu kutawala rasilimali zote.Ukweli mchungu, binadamu hajaumbwa kukaa, kuishi na mtu fulani mfano kulala kitanda kimoja kwa muda usiojulikana. Ni sisi wanadamu tumejipangia huo utaratibu na duniani kote ni vilio na kusaga meno huo utaratibu umeshindikana. Ndoa nyingi na mahusiano mengi watu wako pamoja Kwa kuvumiliana tu aidha kuifurahisha jamii au kufata maelekezo ya dini zao. Binadamu by nature hajaumbwa aishi na mtu mmoja hadi kifo kiwatenganishe. Ni ukweli ambao hausemwi popote rasmi, na watakuja watu kunibeza na kunitukana hapa ila ndio uhalisia. Wengi wanakuja kuujua huu ukweli wakishafikisha miaka 65,70 na kuendelea na kutamani wangeujua mapema. Mpaka Sasa 98% ya watu duniani wanaishi maisha ya kufuata maelekezo wasiyoyajua na kumjua anayewaelekeza ndo maana watu wengi huishi karibia maisha yao yote bila ya kuwa na peace of mind.
Mke m'moja mwenye adabu na utii na kujiheshimu anatosha. Yanini kudeal na sura tatu toafuti.turudi kwenye misingi ya zamani mwanaume aoe wanawake atakao. Ni rahisi kumudu wake wa tatu kuliko mmoja
maana itatengeneza wivu na heshima
wake watakua na wivu na pia wataheshimu mume wao
Uko sahihi sana ila kwa watu waliochagua kuishi maisha ya kuji commit kwenye ndoa. Ila umewahi kujiuliza furaha yako ni nini?.., Kwa maelezo yako siwezi kukubadilisha msimamo ila nataka uondoe dhana kichwani mwako kwamba ambao hawajaoa wanakosa vitu fulani. Kila mtu ana namna na kujipa peace of mind. Dunia haijawahi kuwa static inazunguka, ndo maana kuna mabadiliko makubwa kila mara kwenye nyanja zote. Ila mwisho wa siku kila mtu achague namna ya kuishi apendayo, tusipangiane. Kila la heri kwenye ndoa yako.Unachosema ni kweli ila kimekosa utashi wa kibinadamu. Mwanadamu ndie mnyama wa tabaka la kwanza juu ya wanyama wote na amewekwa juu kutawala rasilimali zote.
Ili aweze kufanya hilo anatakiwa kujiwekea mfumo maalumu wa kuishi tofauti na wanyama wengine ili aweze kuwa mtawala wa Dunia na vilivyomo.
Sasa tukirejea katika mada. Swala la Ndoa ni swala la utashi wa akili ya binadamu. Nadhani umetazama upande m'moja tu wakati ukiwa unatafakari hayo uliyosema ila unasahau kuwa kuna upande mwingine.
Umeshawahi jiuliza matokeo ya watu kuishi bila ndoa?!
Nadhani hapa ndipo ulipopungukiwa ufahamu au elimu. Kuna madhara makubwa zaidi ya haya uliyosema endapo ikatokea watu wakaishi bila Ndoa au nje ya ndoa. Dunia imefika hapa sababu ya mchango wa Ndoa.
Tazama miaka hii Ndoa haiheshimiwi na ndio maana hakuna linalokwenda ndani yake. Ndoa za sasa watu wanaziingia huku wakiwa wamekwisha vunja miiko yake kibao. Wategemea zitafanikiwa?!
Nitakupa tu masharti ya msingi ya ndoa ambayo watu huwa wanayapuuza na baadae huwaletea shida na changamoto.
1. Ndoa inataka vijana na mabinti waiingie wakiwa katika hali ya upya, yaani hawajawahi kufanya mahusiano ya kabla na mtu yoyote yule ili kile watachokianzisha kiwe chao wawili tu. Je, nani anaingia kwenye ndoa sasa hivi na hiyo sifa?!
2. Ndoa inataka mwanaume ampende mkewe na mwanamke amtii na kumheshimu mkewe. Je hilo linafanyika?!
3. Ndoa inataka wawili waliojitoa kila m'moja kufa na kupona kwa mwenzake je, ndicho kinachotokea?!
4. Ndoa ina elimu yake na inataka watu kutoacha kujifunza hadi uzeeni maana kila hatua ya umri fulani ina funzo lake. Je ni kweli wana ndoa wa sasa wanajifunza lolote au kupenda kujifunza maswala ya Ndoa?
5. Maagizo na masharti ya ndoa yapo wazi sana kwenye vitabu vya imani. Ni watu tu wamechagua njia za tofauti za kuishi kuridhisha nafsi zao. Ukitaka kujua ni ujana tu tafuta watu wa umri wa miaka 50+ waulize utaona majuto yao na namna wangetamani kurudi nyuma na kubadili mienendo yao.
Kwa kuhitimisha, Ndoa ni kitu kizuri sana na kinamatokeo mazuri kikifiata misingi. Si kweli kwamba ndani ya ndoa mambo ni magumu kuliko nje ya Ndoa, hapana. Stress zipo za aina nyingi na hakuna sehemu utaenda ukose stress. Familia zinastress, kazini stress, mtaani stress etc. So Ndoa pia ina stress zake ila zinasolvika kirahisi sana kwa maridhiano kama wakikutana watu wawili waliochagua kukaa na kuishi sehemu moja bila kuchukuliana poa.
Siri iko hapa,Kwa ufupi,
Nini kinasababisha kumchoka yule uliempenda? Ulimpenda sana kijana fulani, mkawa wapenzi, kadri unavyozidi kuwa naye karibu ndivyo unavyomchoka, mambo yanabadilika kabisa tofauti na mwanzo!
Unampata bi dada mzuri wa kila kitu, unajisemea moyoni huyu ndiye! Mnaanza mahusiano, mapenzi mubashara, lakini mwisho wa siku unamwona si kitu, hakufai, na kuanza kumtafutia sababu za kummwaga!
Uko kwenye ndoa, una mme/mke wako, unathubutuje kutamka kwamba huyo si chaguo lako? Una wazimu?
Nini kinachopelekea kujitokeza kwa hali hiyo? Ulishawahi kuacha/kuachwa bila sababu?[emoji4][emoji4]
Nini maoni yako?