wapendwa, angalieni dunia yetu ilipo sasa!!!

wapendwa, angalieni dunia yetu ilipo sasa!!!

Nimeipenda picha na ujumbe uliomo ndani yake, ingawa nimeumia moyoni. I feel very sorry kwa waafrika wenzangu walio ktk hali hii ya mateso.
Mungu atusaidie
 
The Return of MJ....

Karibu sana maana ulipotea watu tukashikwa na mashaka labda shem kachukua P/W akabadilisha ukashindwa ku-log in lol.....

https://www.jamiiforums.com/mahusia...-kumbe-mkishaolewaga-ndo-mnakuwaga-hivyo.html

asante sana mpendwa kwa kunimiss kiasi hicho, Mungu akubariki sana!

mimi nipo mzima kabisa ila nimekamatwa kidogo na mambo fulanifulani, hope muda si mrefu nitarudi kwenye nafasi yangu jamvini kama kawaida. asante pia kwa link, ngoja niibonyeze nijisoimee kilichomo

nitayainua macho yangu nitazame milima
msaada wangu watoka wapi?
msaada wangu u-katika Bwana
aliyezifanya mbingu na nchi!!
 
Nimeipenda picha na ujumbe uliomo ndani yake, ingawa nimeumia moyoni. I feel very sorry kwa waafrika wenzangu walio ktk hali hii ya mateso.
Mungu atusaidie

amina mpendwa,

Glory to God!

katika Bwana nafsi yangu itajisifu,
wanyenyekevu wasikie wakafurahi!
 
kuna msemo kuwa satan ndio mtawala wa dunia hii,,
i hope unaelewa kwa nn jesus alikataa sio mtawala wa dunia hi
i na akasema mtawala wa dunia amekwisha hukumiwa.
ndio hivo,huoni sasa MS waziri mkuu wa uingereza anataka turuhusu ushoga
kwa kigezo cha misaada...baadae mwingine atakuja na sera yake kuwa wasiokubali kumwabudu yeye hawatapewa viza au kuuwawa__ufunuo karibuni utatimia.
kuna mengine ya wizi na ufisadi mkubwa ikulu,EPA, bodi ya mikopo nk mengi tu
ziz kantri bwana kwa kweli imeharibika
 
sawa kabisa mpendwa,

hakika huu sasa ndio mwanzo wa utungu. sasa tusubiri tu chukizo la uharibifu lisimame patakatifu. asomaye na afahamu!!

Mungu akubariki sana mpendwa

Glory to God!

kama si Bwana aliyekuwa pamoja nasi,
tungelikuwa kama sodoma,
tungelifananishwa na gomora!!
 
M,mchungaji hawezi kunywa hii kitu mpe offer ya kitu kingine.

Aiseee, kumbe hatimaye MJ alifanikiwa kuolewa, tena na mchungaji! Mimi sikujua hii kitu. Mara ya mwisho nilimsoma akilalamika kwamba kijana alikuwa haeleweki eleweki! Hata hivyo nimpongeze tu kwa hatua hiyo.
 
hapana mpendwa,

sijawahi kulalamikia kitu kama hicho na kwa kweli huwa sina utamaduni wa KULALAMIKA!

bonyeza hapo kwenye hiyo link upate ukweli wa jambo hili

https://www.jamiiforums.com/mahusia...umbe-mkishaolewaga-ndo-mnakuwaga-hivyo-3.html

asante sana mpendwa na ubarikiwe sana na Bwana

Glory to God!
 
Back
Top Bottom