Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
Shalom wapendwa
Ma dk wenzangu
Matibabu wote
Naomba kuuliza dawa ya fungus kwenye mapaja na pia nahisi scrotum inawasha
Nilikuwa.mkoa.mmoja nahisi maji yake hayakuwa salama kwangu na mwezi sasa nimekunywa grysofulvin wiki ikatulia kuwasha naona imerudi tena
Mbaya zaidi naona na scrotum inawasha wakati MWINGINE kama jasho linatokaaa
Kibaya zaidi nilisoma pugu sec 1999. Pond boy mnakumbuka mateso tuliyopata na tulitoka NAYO nahisi wengine waligoma HATA kupata WATOTO kwa MATESO yalee..nkikumbuka nawaza na kuwazua