Mama yangu anaishi Australia na kasema nitafute mwanamke wa kulisi mali zake.mimi naishi ulaya nimejaribu kukufuata wewe yaonekana wewe ni sabuni ya roho ya mama yangu.karibu tupanue ukooMkuu unataka nikale kwenye budget ya magereza?
Mkuu karibu tuyaongee Kwamtogole lakini mimewahiwa na AspirinMama yangu anaishi Australia na kasema nitafute mwanamke wa kulisi mali zake.mimi naishi ulaya nimejaribu kukufuata wewe yaonekana wewe nu sabuni ya roho ya mama yangu.karibu tupanue ukoo
Swissme
Aspirin mfupi sana kwa kweli si utani wewe ni gold ya mama yangu.mama anakupenda sana na njoo katika ukoo wa wasafi achana na Asprini kibamia.unapenda ninin?kuna lava 4 na ist ziko home plsMkuu karibu tuyaongee Kwamtogole lakini mimewahiwa na Aspirin
Bujibuji na Asprini wanakusalimia wote kwa mpigo![emoji4][emoji4][emoji4]Nilipanda kwa urembo lakini mwisho wa siku watu walikuja kununua roses za msiba na maua ya kanisani.
Hongera sana.....actually ur in love with mother nature.....natamani niyaone mazingira yako.....mimi nahisi nimekuzidiNimeona tu neno maua na bustani nimesisimka. Napenda sana maua, sijui nisemeje.
Nina maua mengi sana, aina tofauti tofauti, mengine nimeyaning'iniza kuzunguka nyumba, mengine yako ndani. Kwangu kumejaa maua.
Nina bustani ya mboga mboga pia, mchicha, maboga, kunde, bamia, matembele, mchaichai, spinach, vitunguu, bilinganya, nyanya nk
Huwa nikirudi nyumbani cha kwanza ni kuangalia maua na bustani yangu ya mboga mboga, napalilia, nawekea mbolea, napanda, nk. Nikitazama maua na mboga zangu nakuwa na utulivu wa nafsi. Ni furaha iliyoje. Ni bonge moja ya natural therapy
Huwa napulizia dawa ya kuua wadudu mara kwa mara. Sitaki kabisa wadudu kushambulia maua yangu.
Nikipita mahali nikiona maua huwa napata hisia za ndani kabisa. Senti yangu ya mwisho kwenye mkoba naweza kuimalizia kununua ua jipya ili kuongezea kwenye collection yangu.
Bili ya maji ikijaga nakuwaga mdogo lakini potelea pote, maua na bustani kwangu ni muhimu sana bora hata nisinunue nguo lakini nimwagilie, ninunue maua na dawa za wadudu.
I got a special connection with flowers/nature
Asante mtoa mada
Mzee kitu kinakaribia kuwa tayari kwa matumizi
Mmmh kweli unayapenda sio kwa ukurasa huuNimeona tu neno maua na bustani nimesisimka. Napenda sana maua, sijui nisemeje.