Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Nilipijuwa mdogo kupanda maua ilikuwa hobby yangu. Wakati ule ni kuona maua hata yawe Chang'ombe au Keko nitafuatilia nipate mbegu.
Nilikuwa na collection ya maua ridi Meupe, pink na mekundu
Nilikuja kugundua nyoka wanapenda sana kukaa kwenye maua na kwasababu hiyo ilikuwa rahisi kwao kuingia ndani mvua zikinyesha au kukiwa na hali ya baridi
Kusave maua yangu yasiharibiwe ili kuwpuka nyoka niliambiwa na mama mmoja niwe ninachoma kipande cha tairi ya gari karibu na bustani kwani nyoka hawapendi ile harufu Abadan